Ishu ya uwepo wa Mungu au kutokuwepo kwake ni swala la binafsi na la kiimani zaidi kwakuwa
1. Wewe unayeamini kwenye uwepo wa Mungu ukiambiwa thibitisha utakuja na maelezo mengi marefu yenye mikanganyiko mingi tuu
2. Na huyu asieamini katika Mungu ukimwambia thibitisha naye atakuja na maelezo marefu yenye kujichanganya mno bila ithibati kamili
Cha muhimu ni kusimama na imani yako kutokana na imani yako na kile unachofahamu, bila kulazimishwa kwakuwa mwisho wa siku wewe utabaki kuwa wewe na yeye atabaki kuwa yeye...two different identities