Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hujawahi kufikiria yumkini shetani si mbaya kama tunavyoaminishwa?
Hivi hujawahi kufikiria yumkini shetani si mbaya kama tunavyoaminishwa?
Hili nimelifikiria mara nyingi sana mkuuHivi hujawahi kufikiria yumkini shetani si mbaya kama tunavyoaminishwa?
Walokole mna safari ndefu sana ya kusafiri...ndhani hamjaanza maisha bado!
Yeah....they have a very long way to go,....
Shetani ni nini?
Vipi kuhusu Afro beliefs, nazo zililetwa na wazungu?
Hatuwezi kujadiliana kuhusu shetani kama hatujaelezea ni nini.Ukishaambiwa ni nini na wewe utaeleza kwamba ni nini? au ndo zilezile gear zako za kuingilia?
Unaweza fafanua pia huyo mtengeneza mashua yeye alitoka wapi??,kama hutaki kuamini mashua inaweza kujitengeneza iweje uamini mtengeneza mashua alijitengenezaLabda nikuulize swali mfano Leo umekuta mashua baharini half MTU akwambie hiyo mashua imejitengeneza yenyewe,utakubali? Lazima utabisha kwani lazima iwe imetengenezwa na MTU. The same applied na bahari ,mbingu ardhi,sayari ,jua mwezi na binadaamu anatokea kwwnye manii mpk mwili kamili ni nani aliumba hv vitu? Najua utajibu vimetokana na mazingira tunarudi Kule juu utakubali mashua inaweza kujitengeneza yenyewe? Tafakari
Hatuwezi kujadiliana kuhusu shetani kama hatujaelezea ni nini.
Vinginevyo tunaweza kujadiliana kuhusu vitu viwili tofauti.
Kabla ya mjadala, definitions ni muhimu. Huwezi kuanza kujadili kitu kabla ya kuki define.
Yupo macca ktk jiwe jeusiNataka kuonana na shetani nielekeeni alipo
HV kumbe paulo nae aliendaga macca...Eeeh??Yupo macca ktk jiwe jeusi
Shetani hana physical form,anaweza jitokeza kwa form yeyote ile.Zile picha za kumwonyesha ana mapembe ,anatisha ni kumwelezea tu ili tumwelewe ni mbaya.Ila anaweza kuja kama binti mzuri au kijana handsome.Shetani ni roho,anatumia watu kutenda kazi zake,hata hapa JF kuna watu wanatumiwa na shetani aidha wanajua au hawajijui kama wanatumiwa.Kwa hiyo ile mijitu anayotutumiaga kwa picha ndg Mzizi Mkavu ni imaginary? So, shetani hana physical form?
Ila anaweza kuja kama binti mzuri, au kijana handsome......je, utamuonaje na muonekano huu wakati umesema hana physical form? Je roho inaonekana?Shetani hana physical form,anaweza jitokeza kwa form yeyote ile.Zile picha za kumwonyesha ana mapembe ,anatisha ni kumwelezea tu ili tumwelewe ni mbaya.Ila anaweza kuja kama binti mzuri au kijana handsome.Shetani ni roho,anatumia watu kutenda kazi zake,hata hapa JF kuna watu wanatumiwa na shetani aidha wanajua au hawajijui kama wanatumiwa.
Roho ile ya uovu/shetani humwingia mtu na kumfanya mateka,hivyo atafanya vile inavyotaka .Hapo mtu huyo atakuwa ametumiwa.Shetani anatumia watu,so nilisema hivyo ili ujihadhari na watu unao waona si wote ni wema wengine wanatumiwa/ni ma agent wa shetani.Shetani anatumia watu na Mungu pia anatumia watu.Swali la kujiuliza wewe,unatumiwa na Mungu au shetani?Ila anaweza kuja kama binti mzuri, au kijana handsome......je, utamuonaje na muonekano huu wakati umesema hana physical form? Je roho inaonekana?