Je, shetani yupo? Anaishi wapi?

Je, shetani yupo? Anaishi wapi?

Kuna kuzimu tatu
1.kuzimu motoni huko kunakofikirika wako wafu wenye dhambi
2.kuna kuzimu ya dunia..kule wanakoishi watu wenye shida kubwa hasa mfano hospitali magerezani na hata majumbani mwetu na mitaani
3.kuzimu ya state of mind..mtu hana shida kubwa lakini anajitengenezea stress na frustrations za kufa mtu.........(kuzimu ni dhana pana)

Basi jela na hospitali za ulaya ni peponi, jela unakitnda, choo, mlo mara tatu tena on time.
 
Je, mmeweza kuthibitisha pasina shaka juu ya uwepo wa uchawi? Maana mnaenda mbali kweli na wakati hata uchawi hakuna anayeweza kuudhibitisha. Atakayedhibitisha uchawi basi amemdhibitisha shetani, na kwa wakati huohuo amemdhibitisha Mungu. Msiende mbali aisee
 
Mshana tuache uongo. Hilo swali halijibiki. Hapo ndipo unapokuja kutambua kuwa hakuna kitu kinaitwa mungu
Sasa weye 1/2 hela kumbe hoja yako sio shetani wa jini Ila humuamini MUNGU.
Basi tumemjua Shetani ni WEWE
 
Ni dhahiri asilimia kubwa ya wanaofanya makosa huyahusianisha na kitu kisichoonekana na kinachokinzana na Mungu kiitwacho shetani. Je, shetani kweli yupo? Anaishi mazingira yapi na kwa nini Mungu anashindwa kumdhibiti ili binadamu waishi kwa ustaarabu na kutotenda dhambi kabisa? Je, nani anaweza kuzithibitisha theologies za huyo shetani kiumbo, mtazamo, mnyumbuliko na kiakili bila kuhusianisha imani?

Learning has no boundaries......
Kama vile ilivo vigum kudhibitisha uwepo wa mungu bas ni vigum kudhibitisha uwepo wa shetan
 
Udini? Kwan pale penye jiwe jeusi ,huwa wanamrushia mawe nani
Mkuu hawamrushii Shetani kwenye jiwe jeusi(Alkaaba)wanamrushia shetani kwenye kuta tatu kwenye MJI mwingine kunaitwa Mina.
Jiwe jeusi (Alkaaba) Waislam wanaelekea wakiwa sehemu yeyeto Dunia kusali.
 
Ni dhahiri asilimia kubwa ya wanaofanya makosa huyahusianisha na kitu kisichoonekana na kinachokinzana na Mungu kiitwacho shetani. Je, shetani kweli yupo? Anaishi mazingira yapi na kwa nini Mungu anashindwa kumdhibiti ili binadamu waishi kwa ustaarabu na kutotenda dhambi kabisa? Je, nani anaweza kuzithibitisha theologies za huyo shetani kiumbo, mtazamo, mnyumbuliko na kiakili bila kuhusianisha imani?

Learning has no boundaries......
Je umeme upo na unakaa wapi? oxygen je ipo? inakaa wapi? gravity nayo je ipo? inakaa wapi?
 
Hakuna kitu kinaitwa mungu. Ni mpango wa watu waliutengeneza ili wapate fursa ya kukutawala kiutamaduni. Ndio maana nasema kuamini uwepo wa mungu kwa watu wa sasa ni uvivu wa kufikiri. Tatizo lenu mnaamini msaada kuliko kujitegemea
Kwahiyo binadamu wa kwanza alizuka zuka tu.... au jiulize lile jua na hii dunia uishipo vimekujaje au viundwaje.... Ucjitweze mwenyewe...ni Bora Kuamini Mungu yupo....ili hata ukifa ukamkuta...kuliko kutoamini kama yupo halafu ukamkuta yupo.... utatamani hata dunia ipasuke ikumeze.... jaribu fikiri kidogo tu mkuu kwa akili uliyopewa.....
 
Mkuu hawamrushii Shetani kwenye jiwe jeusi(Alkaaba)wanamrushia shetani kwenye kuta tatu kwenye MJI mwingine kunaitwa Mina.
Jiwe jeusi (Alkaaba) Waislam wanaelekea wakiwa sehemu yeyeto Dunia kusali.
Kumbe shetan yupo ktk huo mji
 
Kwahiyo binadamu wa kwanza alizuka zuka tu.... au jiulize lile jua na hii dunia uishipo vimekujaje au viundwaje.... Ucjitweze mwenyewe...ni Bora Kuamini Mungu yupo....ili hata ukifa ukamkuta...kuliko kutoamini kama yupo halafu ukamkuta yupo.... utatamani hata dunia ipasuke ikumeze.... jaribu fikiri kidogo tu mkuu kwa akili uliyopewa.....
Acha uoga. Na huo ndo tunaita uvivu wa kufikiri. Hivi hujui kuwa kila kitu hutokea kutokana na mazingira. Ndio maana samaki wa maji baridi hutamkuta kwenye maji ya chumvi. Jifunze kutumia akili zako utaelewa mengi. Usikariri
 
Hili swali kwa nini aseingeulizwa Ibilisi toka mwanzo? Mnahangaika wakati jamaa tuko naye humu.
 
Back
Top Bottom