nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Kwani mungu alitokana na nini? Hayo ni maswali ya kitoto sana kwa mtu mwenye uelewa kama mmWewe ulitokana na nini?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mungu alitokana na nini? Hayo ni maswali ya kitoto sana kwa mtu mwenye uelewa kama mmWewe ulitokana na nini?!
Kuna kuzimu tatu
1.kuzimu motoni huko kunakofikirika wako wafu wenye dhambi
2.kuna kuzimu ya dunia..kule wanakoishi watu wenye shida kubwa hasa mfano hospitali magerezani na hata majumbani mwetu na mitaani
3.kuzimu ya state of mind..mtu hana shida kubwa lakini anajitengenezea stress na frustrations za kufa mtu.........(kuzimu ni dhana pana)
Hahaha kuzimu daraja la kwanzaBasi jela na hospitali za ulaya ni peponi, jela unakitnda, choo, mlo mara tatu tena on time.
Dar haina exit moja...think big...!!!Tatizo lako unajichanganya,mi nadhani unatakiwa kuwa upande mwingine kabisa.Think big
Sasa weye 1/2 hela kumbe hoja yako sio shetani wa jini Ila humuamini MUNGU.Mshana tuache uongo. Hilo swali halijibiki. Hapo ndipo unapokuja kutambua kuwa hakuna kitu kinaitwa mungu
Tena nniogope sana. Maana mm ndo msema kweli. Mm sikuumbwa na munguSasa weye 1/2 hela kumbe hoja yako sio shetani wa jini Ila humuamini MUNGU.
Basi tumemjua Shetani ni WEWE
Curse be upon youYupo anaish macca kwenye jiwe jeus
Kama vile ilivo vigum kudhibitisha uwepo wa mungu bas ni vigum kudhibitisha uwepo wa shetanNi dhahiri asilimia kubwa ya wanaofanya makosa huyahusianisha na kitu kisichoonekana na kinachokinzana na Mungu kiitwacho shetani. Je, shetani kweli yupo? Anaishi mazingira yapi na kwa nini Mungu anashindwa kumdhibiti ili binadamu waishi kwa ustaarabu na kutotenda dhambi kabisa? Je, nani anaweza kuzithibitisha theologies za huyo shetani kiumbo, mtazamo, mnyumbuliko na kiakili bila kuhusianisha imani?
Learning has no boundaries......
Usianzishe balaa lako udini.Yupo anaish macca kwenye jiwe jeus
Udini? Kwan pale penye jiwe jeusi ,huwa wanamrushia mawe naniUsianzishe balaa lako udini.
Mkuu hawamrushii Shetani kwenye jiwe jeusi(Alkaaba)wanamrushia shetani kwenye kuta tatu kwenye MJI mwingine kunaitwa Mina.Udini? Kwan pale penye jiwe jeusi ,huwa wanamrushia mawe nani
Je umeme upo na unakaa wapi? oxygen je ipo? inakaa wapi? gravity nayo je ipo? inakaa wapi?Ni dhahiri asilimia kubwa ya wanaofanya makosa huyahusianisha na kitu kisichoonekana na kinachokinzana na Mungu kiitwacho shetani. Je, shetani kweli yupo? Anaishi mazingira yapi na kwa nini Mungu anashindwa kumdhibiti ili binadamu waishi kwa ustaarabu na kutotenda dhambi kabisa? Je, nani anaweza kuzithibitisha theologies za huyo shetani kiumbo, mtazamo, mnyumbuliko na kiakili bila kuhusianisha imani?
Learning has no boundaries......
Kwahiyo binadamu wa kwanza alizuka zuka tu.... au jiulize lile jua na hii dunia uishipo vimekujaje au viundwaje.... Ucjitweze mwenyewe...ni Bora Kuamini Mungu yupo....ili hata ukifa ukamkuta...kuliko kutoamini kama yupo halafu ukamkuta yupo.... utatamani hata dunia ipasuke ikumeze.... jaribu fikiri kidogo tu mkuu kwa akili uliyopewa.....Hakuna kitu kinaitwa mungu. Ni mpango wa watu waliutengeneza ili wapate fursa ya kukutawala kiutamaduni. Ndio maana nasema kuamini uwepo wa mungu kwa watu wa sasa ni uvivu wa kufikiri. Tatizo lenu mnaamini msaada kuliko kujitegemea
Kumbe shetan yupo ktk huo mjiMkuu hawamrushii Shetani kwenye jiwe jeusi(Alkaaba)wanamrushia shetani kwenye kuta tatu kwenye MJI mwingine kunaitwa Mina.
Jiwe jeusi (Alkaaba) Waislam wanaelekea wakiwa sehemu yeyeto Dunia kusali.
Acha uoga. Na huo ndo tunaita uvivu wa kufikiri. Hivi hujui kuwa kila kitu hutokea kutokana na mazingira. Ndio maana samaki wa maji baridi hutamkuta kwenye maji ya chumvi. Jifunze kutumia akili zako utaelewa mengi. UsikaririKwahiyo binadamu wa kwanza alizuka zuka tu.... au jiulize lile jua na hii dunia uishipo vimekujaje au viundwaje.... Ucjitweze mwenyewe...ni Bora Kuamini Mungu yupo....ili hata ukifa ukamkuta...kuliko kutoamini kama yupo halafu ukamkuta yupo.... utatamani hata dunia ipasuke ikumeze.... jaribu fikiri kidogo tu mkuu kwa akili uliyopewa.....
Hiki nini umeandika ndugu?,Dar haina exit moja...think big...!!!