Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimepitia comment zako nyingi kwenye hii thread na nimegundua kuwa unashindwa kuongea ukweli wa kile unachoamini kuwa ni kweli, sababu unaogopa kuleta mjadala wa watu wengi kukupinga na kuanzisha mjadala mpya na watu kukuona wa ajabuIshu ya uwepo wa Mungu na pepo au kutokuwepo kwake ngoja libaki kuwa la kibinafsi kwakuwa ni kitu cha kiimani
ooh unamaanisha kuwa kumbe shetani hayupo mmoja kama tulivoambiwa na vitabu bali wapo wengi?
Hicho unacho kisema knaweza kkawa sawa japo sina uhakika na hcho unachoksema but hebu imagine km uwezo Wa akili (IQ scole ) yako ni 120 alafu ww ukatumia 10% ya 120. Hapo utakuwa umetumia 10% ya120 bt mwisho wako ww utakuwa n 120I beg to differ uwezo wa akili mkuu hauna kikomo tafiti zinasema bongo zetu zinatumika kwa asilimia 10% bado hajatokea mtu alietumia kwa 100% unaweza uka imagine laiti ingetumika 100% tungekua wapi now na saivi its jus 10%....
Tusitoke nje ya mada anyways hilo swali langu linajibikaje nna kiu ya kujua
Hapana sio kweli kabisa bado nasisitiza kuwa ishu ya uwepo wa Mungu au kinyume chake ni ishu ya kiimani na itabaki kuwa kitu cha binafsi...huu mjadala si wa leo una miaka na miaka hauishi na hautakaa uishenimepitia comment zako nyingi kwenye hii thread na nimegundua kuwa unashindwa kuongea ukweli wa kile unachoamini kuwa ni kweli, sababu unaogopa kuleta mjadala wa watu wengi kukupinga na kuanzisha mjadala mpya na watu kukuona wa ajabu
I think you just need to be open so that we can share our ideas na kufungua brain as much as it has to be.
Mate ya nn mkuu. Mnadanganywa Sema ni ngumu kuelewa kwakua ubongo wako imelishwa hayo mambo tangu unazaliwa. Yaani nyie hamna tofauti na wazee wetu waliofanywa watumwa. Nyie utumwa wenu ni tamadunitobba.!!!!, hebu tema mate chini haraka.
Tatzo ni kwamba how sure are u, kwamba huyo alowafungua brain au hzo source zipo right? ni kingine ni kwamba inatakiwa mfaham kuwa kama nitakataka(accodng to you) tulimelishwa tangu maelfu ya miaka yaliopita, tena kwa ustadi mkubwa sana na maarifa ya ajabu.Mate ya nn mkuu. Mnadanganywa Sema ni ngumu kuelewa kwakua ubongo wako imelishwa hayo mambo tangu unazaliwa. Yaani nyie hamna tofauti na wazee wetu waliofanywa watumwa. Nyie utumwa wenu ni tamaduni
mungu = MunguKama ni mpango wa mungu basi huyo shetani anafanya kazi kwa kufuata order za mungu. Hebu jiulize, kwanini anasema atawaadhibu watu pamoja na shetani wakati yeye ndo mtoa order na shetani anatekeleza
Dhambi ni Ignorance.Dhambi ni nini kwani?
Mshana utaniudhi sasa, nimesoma post zako humu unajaribu kuwa neutral sana, why?Ishu ya uwepo wa Mungu na pepo au kutokuwepo kwake ngoja libaki kuwa la kibinafsi kwakuwa ni kitu cha kiimani
Mimi binafsi naamini uwepo wa Mungu na mamlaka yake...nimejiridhisha kuwa yupoMshana utaniudhi sasa, nimesoma post zako humu unajaribu kuwa neutral sana, why?
What do you think is the truth?, is there a God?
Tofauti ya wanaume kwa muktadha gani?Tofauti hapo ni mume na mke. Je, difference kati ya wanaume ilitoka wapi? Nini lengo la Mungu?