Je, shetani yupo? Anaishi wapi?

Je, shetani yupo? Anaishi wapi?

Upagani ndio nini sasa, hivi unajua hata wahindu na wabudha au wale wanaoabudu Dragon China wanakuona wewe unayetumia Bible ni mpagani? Jibu swali, usiogope
Mkuu hili swali mbona kama halinihusu sijazungumzia maswala ya bibilia mm
 
Ndio shetani wapo wanaishi hapahapa duniani wanapatikana milimani, kwenye magofu, sehemu za majalala na kwengineko ndio ameachwa Mungu km nimtihan kwa binaadamu.

Kudhibitisha bila vitabu vya dini ni ngumu kwa sababu ndo kwenye evidence tosha.

Kinyume na hapo utadanganywa karibu simba wanga, Tanga , kilwa migodini na pemba utapata jibu kwa kuwahisi, kuwaona na maskan zao utaskia njia flan usipite ikifika jion.

Nimezaliwa na kuishi simba wanga lakini sijawahi kumuona shetani.
 
Ndio maana nikauliza. Je, uwepo wa shetani ni mpango wa mungu au ni kufeli kwa mungu?
Mkuu kwanza hapo kwenye swali lako tu kuna makosa, kitendo tu cha kusema KUFELI KWA MUNGU, tayar ni kosa.... Kwa kuwa mungu hakuwahi KUFELI wala kushindwa.
 
Mkuu kwanza hapo kwenye swali lako tu kuna makosa, kitendo tu cha kusema KUFELI KWA MUNGU, tayar ni kosa.... Kwa kuwa mungu hakuwahi KUFELI wala kushindwa.
Ndo ujibu hilo swali. Uwepo wa shetani ni mpango wa mungu au ni kufeli kwa mungu? Nahitaji majibu. Ili kupima uwezo wa mtu wa kufikiria lazima maswali yawepo
 
Ndo ujibu hilo swali. Uwepo wa shetani ni mpango wa mungu au ni kufeli kwa mungu? Nahitaji majibu. Ili kupima uwezo wa mtu wa kufikiria lazima maswali yawepo
Naomba nijibu kwa kadri ninavyo elewa mimi, shetan ni malaika walio hasi kwa Mungu, before walikuwa malaika wema tu wakifanya kazi tofauti kulingana na division za kaz na uwezo wao huko kwa Mungu, but baada ya kuhasi kiongoz wao Lucifer, Mungu aka waalani na kuwa tupa duniani na hata hilo ziwa la moto wali andaliwa wao..... Km haitosh nao wakasema hatuto kwenda pekeetu bali tutawatafuta wafuasi wa kwenda nao huko...
 
Kwahiyo uwepo wa shetani ni kufeli kwa mungu. Kwa maana aliumba kitu ambacho kimemzidi nguvu mpaka akawa hajui nn kitatokea? Maana mnasema mungu anajua kila kitu. Kilichotokea na kitakachotokea
 
[quote uid=43551 name="FaizaFoxy" post=15661191]Shetani wa kibinadamu ni yule anayeweza kuwarubuni watu kuacha kumuabudu Mungu na kuanza kuliabudu sanamu la mzungu lililovishwa nepi.[/QUOTE]<br />sio wale wanaoshawishi wenzao wakaabudu kaburi la mfu kule makka na kuhimiza kujitoa mhanga kuwahi mabikra?

Hahahah muslim vs christian
 
Naomba nijibu kwa kadri ninavyo elewa mimi, shetan ni malaika walio hasi kwa Mungu, before walikuwa malaika wema tu wakifanya kazi tofauti kulingana na division za kaz na uwezo wao huko kwa Mungu, but baada ya kuhasi kiongoz wao Lucifer, Mungu aka waalani na kuwa tupa duniani na hata hilo ziwa la moto wali andaliwa wao..... Km haitosh nao wakasema hatuto kwenda pekeetu bali tutawatafuta wafuasi wa kwenda nao huko...
Kwa nini Mungu hakuwazuia mashetani kuwarubuni watu wake?
 
Cjui kama ulshawahi kujua km Akili (uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo) nao unaukomo na ndio maana kuna kitu kinaitwa IQ, IQ ina scale zake na scale zake hizid 200. Kwa maana hyo kuna wakati utafikiria na kutafakari na kuwaza sana lakn hautapata majibu na hapo ndio ukomo akili yako inapofikia mwisho. Ndo maana hapo ulipo unajiuliza kama kuhusu huyu mungu kama yupo kweli kwasababu kuna maswali mengi ukijiuliza na uliulza watu wengine hupati majibu na hakuna atakayekupa jibu sahihi na kila jbu utakalopewa litazaa swali.

I beg to differ uwezo wa akili mkuu hauna kikomo tafiti zinasema bongo zetu zinatumika kwa asilimia 10% bado hajatokea mtu alietumia kwa 100% unaweza uka imagine laiti ingetumika 100% tungekua wapi now na saivi its jus 10%....

Tusitoke nje ya mada anyways hilo swali langu linajibikaje nna kiu ya kujua
 
Ni dhahiri asilimia kubwa ya wanaofanya makosa huyahusianisha na kitu kisichoonekana na kinachokinzana na Mungu kiitwacho shetani. Je, shetani kweli yupo? Anaishi mazingira yapi na kwa nini Mungu anashindwa kumdhibiti ili binadamu waishi kwa ustaarabu na kutotenda dhambi kabisa? Je, nani anaweza kuzithibitisha theologies za huyo shetani kiumbo, mtazamo, mnyumbuliko na kiakili bila kuhusianisha imani?

Learning has no boundaries......
Shetani ni mhusika feki katika vitabu vya kale
 
Ndio shetani wapo wanaishi hapahapa duniani wanapatikana milimani, kwenye magofu, sehemu za majalala na kwengineko ndio ameachwa Mungu km nimtihan kwa binaadamu.

Kudhibitisha bila vitabu vya dini ni ngumu kwa sababu ndo kwenye evidence tosha.

Kinyume na hapo utadanganywa karibu simba wanga, Tanga , kilwa migodini na pemba utapata jibu kwa kuwahisi, kuwaona na maskan zao utaskia njia flan usipite ikifika jion.
ooh unamaanisha kuwa kumbe shetani hayupo mmoja kama tulivoambiwa na vitabu bali wapo wengi?
 
Back
Top Bottom