Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,245
Kwahyo ile kauli yakusema kama shetani aliletwa dunia kuja kupooteza ulimwengu kwa wakuwashawishi wanadamu kutenda maovu km vnavyosema vtabu vya dini tuiondoe. Kwasababu vtabu vya dini vnasema baada ya ibilisi kuasi na kufukuzwa mbinguni alimuomba mungu ampe nafac ya kuishi had siku ya mwisho na akaweka ahad yakuwapoteza watu ili awezekupata wafuasi watakao muasi mungu. Sasa ikiwa hvyo ndvyo iweje tena tuseme shetani Wa MTU mi MTU?Kama wewe unaamini kuwa kuna malaika walimuasi mungu wakafukuzwa ndiyo mashetani,basi utagundua kwamba baada ya wao kuasi ndipo walipopata hiyo sifa mbaya ya ushetani,hivyo hata binadamu aweza kuwa na sifa ya kishetani. Majini ni viumbe nao kama walivyo binadamu.