UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Uwanja ndio huu mkuu waambie watu thamani ya maisha ya dunia,kama hutumii nafasi kama hizi kueleza ukweli unafikiri huo ukweli utajulikana vp?Kikubwa tunachokitaka sisi ni kuokoa muda wa vizazi vyetu. Hakuna kitu kinapoteza wakati na kufanya watu masikini kama kuamini kuna kitu kinaitwa mungu. Walio masikini wengi wanaamini maisha mazuri watakuja kuishi mbinguni. Na wanaaminishwa kuwa maisha ya duniani hayana thamani. Hiki ndo kitu ambacho mm sikupendi. Lazima tuwaambie ukweli watu wetu ili tuwe na vizazi vyenye kujielewa