Je, shetani yupo? Anaishi wapi?

Je, shetani yupo? Anaishi wapi?

Kikubwa tunachokitaka sisi ni kuokoa muda wa vizazi vyetu. Hakuna kitu kinapoteza wakati na kufanya watu masikini kama kuamini kuna kitu kinaitwa mungu. Walio masikini wengi wanaamini maisha mazuri watakuja kuishi mbinguni. Na wanaaminishwa kuwa maisha ya duniani hayana thamani. Hiki ndo kitu ambacho mm sikupendi. Lazima tuwaambie ukweli watu wetu ili tuwe na vizazi vyenye kujielewa
Uwanja ndio huu mkuu waambie watu thamani ya maisha ya dunia,kama hutumii nafasi kama hizi kueleza ukweli unafikiri huo ukweli utajulikana vp?
 
Kikubwa tunachokitaka sisi ni kuokoa muda wa vizazi vyetu. Hakuna kitu kinapoteza wakati na kufanya watu masikini kama kuamini kuna kitu kinaitwa mungu. Walio masikini wengi wanaamini maisha mazuri watakuja kuishi mbinguni. Na wanaaminishwa kuwa maisha ya duniani hayana thamani. Hiki ndo kitu ambacho mm sikupendi. Lazima tuwaambie ukweli watu wetu ili tuwe na vizazi vyenye kujielewa
Ishu ya uwepo wa Mungu na pepo au kutokuwepo kwake ngoja libaki kuwa la kibinafsi kwakuwa ni kitu cha kiimani
 
Wapendwa shetani ni wale malaika wabaya waliofukuzwa na mwenyezi mungu mbinguni, ni wale malaika waliokataa kumtii mungu na walikuja duniani wakazaliana sana,na wako wengi mno na kazi yao hasa wanatafuta wale wanaopingana na mambo ya mungu ili wapate wafuasi wao!!,ila tukirudi kwa upande mwingi tena Jini ni shetani???
 
Shetani wa kibinadamu ni yule anayeweza kuwarubuni watu kuacha kumuabudu Mungu na kuanza kuliabudu sanamu la mzungu lililovishwa nepi.
 
Kafanye homework yako upya. Umebuugi.
nimebugi wapi boko haram wewe! na huo utu uzima wote ulokujaa unakosa busara kuvamia nyuzi za watu na kueneza chuki za kidini...Huna heri kabisa..Na unahitaji hekima muombe mungu akupe!
 
Ukiamini Uwepo wa Mungu Automatically Lazima Uamini Uwepo wa Shetani,Sababu Mungu Mwenyewe anasema ukimuamini yy Lazima Uamini Maneno Yake na Maneno ya Mungu ni Vitabu vya Dini Ambavyo Vinakiri Uwepo wa Shetani na Vinatutaka Tujihadhari Nae!Kuhusu Anapoishi yupo popote kila Mahala yupo hata hapo Ulipo yupo Embu Geuka umcheki Umemuona??Shetani ni Roho kama Ilivyo Mungu nae ni Roho!Ova
 
Ishu ya uwepo wa Mungu na pepo au kutokuwepo kwake ngoja libaki kuwa la kibinafsi kwakuwa ni kitu cha kiimani
Ujue tatizo letu sisi wabongo ni wavivu sana wa kufikiria. Yaani hapo wewe unaona sawa tu mtu kupoteza muda
 
nimebugi wapi boko haram wewe! na huo utu uzima wote ulokujaa unakosa busara kuvamia nyuzi za watu na kueneza chuki za kidini...Huna heri kabisa..Na unahitaji hekima muombe mungu akupe!

Ewe punguani, povu linakutoka kwa kukufahamisha shetani wa kibinadamu ni yupi.

Unaonesha wewe umeshaingizwa mkenge na shetani na unaabudu sanamu la mzungu aliyevishwa nepi.

Mleta mada angetaka hii mada isichangiwe kiuwazi angeifanya private, au haujui kutumia vizuri features za JF? Kwa hiyo ondokana na huo upuuzi wa eti kuvamia mada za watu.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom