EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Ok, ila mm naona maboma hayajafunikwaNafikiri ameanza vema, maana ukilijenga boma lazima ulifunike haraka sana, hapo ndio utaangalia unahitaji ngapi za finishing.
nimejaribu kumuonesha cost za sasa za kuezeka nyumba ya bati 100, halafu aangalie je hela atakayobaki nayo itamtosha kuinua boma.Ok, ila mm naona maboma hayajafunikwa
Sa hayo material ukinunua na umepanga nyumba ndogo unayaweka wapi??
Usizidishe hizo romm mbili na Usiifanye fansi kama za mjini unapata hadi banda lake la kuku,,,,,halafu kuna vitu vya kawaida kabisa mtu unaweza kufanya unajua bei ya tofsli mchanga saruji mbao bati mwambie fundi naomba unipe idadi yake kwa nyumba ya room 2 na sebuleBasi sawa.
nimejaribu kumuonesha cost za sasa za kuezeka nyumba ya bati 100, halafu aangalie je hela atakayobaki nayo itamtosha kuinua boma.
Apate picha halisi ya budget yake aliyonayo ambayo ni 10mil.
Akipiga hizo room mbili na sebule siku akienda huko kijijini kumtembelea mother ake atalala wapi assume anawatoto wa jinsia tofauti maana room moja itakuwa tayari mother anakaa.Usizidishe hizo romm mbili na Usiifanye fansi kama za mjini unapata hadi banda lake la kuku,,,,,halafu kuna vitu vya kawaida kabisa mtu unaweza kufanya unajua bei ya tofsli mchanga saruji mbao bati mwambie fundi naomba unipe idadi yake kwa nyumba ya room 2 na sebule
Nadhani hujamsoma mleta mada vizuri.... Yeye anataka nyumba "yenye nafasi". Sasa wewe unazungumzia mabanda ya uani. Kitu kingine watu wanasahau nyumba ya choo. Sada hebu weka na ka mchakato ka choo hapo uone. Au labda mama wa watu ataenda kujisaidia kwa jirani?Usizidishe hizo romm mbili na Usiifanye fansi kama za mjini unapata hadi banda lake la kuku,,,,,halafu kuna vitu vya kawaida kabisa mtu unaweza kufanya unajua bei ya tofsli mchanga saruji mbao bati mwambie fundi naomba unipe idadi yake kwa nyumba ya room 2 na sebule
Assume nyumba yako itatumia bati 100 za gauge 30. 100@ 20000=2million
Misumari ya bati kilo 30@8000=240000/= kofia 20@10000=200000/= mbao 200@5500= 1100000/= na fisherboard 20@10000=200000/= na misumari ya nchi 4 kilo 45=130000/=
Jumla utapata = 3,840,000/= jumlisha hela ya fundi kama 800000/= kupaua jumla utapata 4,640,000/=
Chukua 10mil toa hiyo 4.6mil utabakiwa na kama 5.4 mil haya hiyo 5.4 ndo kwa ajili ya materials za kusimamisha boma na hela ya mafundi je unahisi itatosha?
Thus is why tunasema itakufikisha mahai ila haitamaliza
Uko sahihi ila kwa maelezo yake itahitajika nyumba ya vyumba vitatu atleast ambapo kupaua inakuwa ni bati kuanzia 90~100 ndo maana nika assumeBro mawazo yako mazuri ila ili nijue gharama za kupaua si lazima nijue boma lina ukubwa gani au nakosea???
Vyumba vitatu kimoja self na public toilet ya ndani. Ila haitakuwa na mbwembwe nyingi sanaSasa mkuu BRAVO 2 ZERO, haya mabati 100 yanaweza kuezekea squre meters ngapi? Au tuseme nyumba ya vyumba vingapi?
Ok, ila mm naona maboma hayajafunikwa
Sa hayo material ukinunua na umepanga nyumba ndogo unayaweka wapi??
Nadhani hujamsoma mleta mada vizuri.... Yeye anataka nyumba "yenye nafasi". Sasa wewe unazungumzia mabanda ya uani. Kitu kingine watu wanasahau nyumba ya choo. Sada hebu weka na ka mchakato ka choo hapo uone. Au labda mama wa watu ataenda kujisaidia kwa jirani?
Haya bana nimgeweza kukuonhyesha myumba ya wazee wangu jiliuowajengea kijijinintena si kama huko mkuranga ni makao makuu ya wilaya Ni two bed room, chumba kimoja master na chumba kinhine cha kawaida, jiko ndani sebule na bafu na choo Nimeweka ma madirisha ya grill jipsum rangi ndani na chipoing injeNadhani hujamsoma mleta mada vizuri.... Yeye anataka nyumba "yenye nafasi". Sasa wewe unazungumzia mabanda ya uani. Kitu kingine watu wanasahau nyumba ya choo. Sada hebu weka na ka mchakato ka choo hapo uone. Au labda mama wa watu ataenda kujisaidia kwa jirani?
Mm nimwajengea wazee wanguna ina master jipsum, silk ndani madiriya ya gril kwa bei hiyo ila ni kama miaka 5 iliyopita na by the saruji ilikuwa 17000Nadhani hujamsoma mleta mada vizuri.... Yeye anataka nyumba "yenye nafasi". Sasa wewe unazungumzia mabanda ya uani. Kitu kingine watu wanasahau nyumba ya choo. Sada hebu weka na ka mchakato ka choo hapo uone. Au labda mama wa watu ataenda kujisaidia kwa jirani?
Kama anatumia mkandarasi sawa ilamkwa tofali la tsh 1200 saruji 14000 mchanga 70000 mabati 18000 mbaya ft 10 10000Nadhani hujamsoma mleta mada vizuri.... Yeye anataka nyumba "yenye nafasi". Sasa wewe unazungumzia mabanda ya uani. Kitu kingine watu wanasahau nyumba ya choo. Sada hebu weka na ka mchakato ka choo hapo uone. Au labda mama wa watu ataenda kujisaidia kwa jirani?
kwani unajenga boma la udongo??Nafikiri ameanza vema, maana ukilijenga boma lazima ulifunike haraka sana, hapo ndio utaangalia unahitaji ngapi za finishing.
sa hapo mbona ukianza na boma fresh hela ikikata unaezeka vyumba viwili unahamia na kupambana kumalizia mambo mengineHapana, nahitaji tofali za kawaida(sio za kuchoma).
Ufafanuzi kama huu ndio unaotakiwa. Hapa tiari umetoa mwanga fulani, Sasa tungepata mtu wa kutupa details zaidi, yaani ukiamua kujenga nyumba ya vyumba viwili na sebule, jiko, na daining na choo. Idadi na gharama ya matofali, mawe na mchanga. Hapo tutajifunza mengi zaidi na sisi wengine tutapata nguvu pia.Assume nyumba yako itatumia bati 100 za gauge 30. 100@ 20000=2million
Misumari ya bati kilo 30@8000=240000/= kofia 20@10000=200000/= mbao 200@5500= 1100000/= na fisherboard 20@10000=200000/= na misumari ya nchi 4 kilo 45=130000/=
Jumla utapata = 3,840,000/= jumlisha hela ya fundi kama 800000/= kupaua jumla utapata 4,640,000/=
Chukua 10mil toa hiyo 4.6mil utabakiwa na kama 5.4 mil haya hiyo 5.4 ndo kwa ajili ya materials za kusimamisha boma na hela ya mafundi je unahisi itatosha?
Thus is why tunasema itakufikisha mahai ila haitamaliza