Je, shilingi milioni kumi inatosha kujenga nyumba nzuri kijijini?

Nafikiri ameanza vema, maana ukilijenga boma lazima ulifunike haraka sana, hapo ndio utaangalia unahitaji ngapi za finishing.
Ok, ila mm naona maboma hayajafunikwa

Sa hayo material ukinunua na umepanga nyumba ndogo unayaweka wapi??
 
nimejaribu kumuonesha cost za sasa za kuezeka nyumba ya bati 100, halafu aangalie je hela atakayobaki nayo itamtosha kuinua boma.

Apate picha halisi ya budget yake aliyonayo ambayo ni 10mil.
 
Basi sawa.
Usizidishe hizo romm mbili na Usiifanye fansi kama za mjini unapata hadi banda lake la kuku,,,,,halafu kuna vitu vya kawaida kabisa mtu unaweza kufanya unajua bei ya tofsli mchanga saruji mbao bati mwambie fundi naomba unipe idadi yake kwa nyumba ya room 2 na sebule
 
Bro mawazo yako mazuri ila ili nijue gharama za kupaua si lazima nijue boma lina ukubwa gani au nakosea???

Akipiga hizo room mbili na sebule siku akienda huko kijijini kumtembelea mother ake atalala wapi assume anawatoto wa jinsia tofauti maana room moja itakuwa tayari mother anakaa.

Ushauri afanye hivi tafuta raman nzuri tu say ya room hope mpaka kuisha itagharimu kama 30mil kwa hela aliyonayo aanze mdogo mdogo mpaka hela itakapokata, then maisha hayajaishia leo kuna siku utapata hela utaiendeleza tu, bora ufanye kitu cha uhakika hata kikichukua miaka 5 kuisha kitakuwa cha uhakika hautakuwa na mawazo ya sijui kuongeza sijui kupanua sijui nini

Mwaka 2015 nipewa redundancy baada ya kufanya kazi miaka 2, nikapewa 5mil plus ppf 9mil total 14mil kwa kuwa nilikuwa sina makazi nikasema anyway wacha nijenge nyumba itakapoishia hapo hapo, nilinunua ramani nzuri kwa laki 2 na nusu nikaanza mdogo mdogo mwishowe boma likainuka ikafika sehemu ya kupaua hela imekata na kodi nilipokuwa nakaa ikaisha ndani ya nyumba niliyojenga nikachoose room kadhaa nikazimaliza vizuri nikapiga moyo konde nikahamia maisha yakaendelea

Kwa kuwa nilikuwa mpya hiyo sehemu ilinichukua mda kujua nifanye nini life iende nikapambana pamabana nikapata deal ya kufanya 2018. Mungu mkubwa deal ilikuwa nzuri( sio kazi ya kuajiriwa) nikapata hela ya kutosha Dec 2018 nikamalizia nyumba piga fence weka kila kitu na nikapata na machuma ya kazi life inaendelea

2019 imeniamkia vyema najiimarisha zaidi kiuchumi hope ntajenga nyumba ingine ya kupangisha

The point is, ukiamua kufanya kitu fanya tu kiwe cha uhakika ili usifanye marudio rudio maana time is not on our side thank you.
 
Usizidishe hizo romm mbili na Usiifanye fansi kama za mjini unapata hadi banda lake la kuku,,,,,halafu kuna vitu vya kawaida kabisa mtu unaweza kufanya unajua bei ya tofsli mchanga saruji mbao bati mwambie fundi naomba unipe idadi yake kwa nyumba ya room 2 na sebule
Nadhani hujamsoma mleta mada vizuri.... Yeye anataka nyumba "yenye nafasi". Sasa wewe unazungumzia mabanda ya uani. Kitu kingine watu wanasahau nyumba ya choo. Sada hebu weka na ka mchakato ka choo hapo uone. Au labda mama wa watu ataenda kujisaidia kwa jirani?
 
Assume nyumba yako itatumia bati 100 za gauge 30. 100@ 20000=2million
Misumari ya bati kilo 30@8000=240000/= kofia 20@10000=200000/= mbao 200@5500= 1100000/= na fisherboard 20@10000=200000/= na misumari ya nchi 4 kilo 45=130000/=

Jumla utapata = 3,840,000/= jumlisha hela ya fundi kama 800000/= kupaua jumla utapata 4,640,000/=

Chukua 10mil toa hiyo 4.6mil utabakiwa na kama 5.4 mil haya hiyo 5.4 ndo kwa ajili ya materials za kusimamisha boma na hela ya mafundi je unahisi itatosha?

Thus is why tunasema itakufikisha mahai ila haitamaliza

Sasa mkuu BRAVO 2 ZERO, haya mabati 100 yanaweza kuezekea squre meters ngapi? Au tuseme nyumba ya vyumba vingapi?
 
Bro mawazo yako mazuri ila ili nijue gharama za kupaua si lazima nijue boma lina ukubwa gani au nakosea???
Uko sahihi ila kwa maelezo yake itahitajika nyumba ya vyumba vitatu atleast ambapo kupaua inakuwa ni bati kuanzia 90~100 ndo maana nika assume
 
Ok, ila mm naona maboma hayajafunikwa
Sa hayo material ukinunua na umepanga nyumba ndogo unayaweka wapi??

Nadhani hujamsoma mleta mada vizuri.... Yeye anataka nyumba "yenye nafasi". Sasa wewe unazungumzia mabanda ya uani. Kitu kingine watu wanasahau nyumba ya choo. Sada hebu weka na ka mchakato ka choo hapo uone. Au labda mama wa watu ataenda kujisaidia kwa jirani?

Ni sawa, unaweza kuinua boma na kumlipa fundi, huku ukijua lazima kuna ile milioni 4.6 inahitajika. Asante sana wadau.
 
Nadhani hujamsoma mleta mada vizuri.... Yeye anataka nyumba "yenye nafasi". Sasa wewe unazungumzia mabanda ya uani. Kitu kingine watu wanasahau nyumba ya choo. Sada hebu weka na ka mchakato ka choo hapo uone. Au labda mama wa watu ataenda kujisaidia kwa jirani?
Haya bana nimgeweza kukuonhyesha myumba ya wazee wangu jiliuowajengea kijijinintena si kama huko mkuranga ni makao makuu ya wilaya Ni two bed room, chumba kimoja master na chumba kinhine cha kawaida, jiko ndani sebule na bafu na choo Nimeweka ma madirisha ya grill jipsum rangi ndani na chipoing inje
Nadhani hujamsoma mleta mada vizuri.... Yeye anataka nyumba "yenye nafasi". Sasa wewe unazungumzia mabanda ya uani. Kitu kingine watu wanasahau nyumba ya choo. Sada hebu weka na ka mchakato ka choo hapo uone. Au labda mama wa watu ataenda kujisaidia kwa jirani?
Mm nimwajengea wazee wanguna ina master jipsum, silk ndani madiriya ya gril kwa bei hiyo ila ni kama miaka 5 iliyopita na by the saruji ilikuwa 17000
 
10 mill kwa uzoefu wangu kwenye ujenzi kusema utajenga nyumba iliyokamilika japo kwa 60% ni uwongo,hiyo itatosha kujenga boma kama utajenga kwa kiwango kizuri ila ukibutua butua bora liende utaweza kuweka na paa.

Kinachotofautisha ujenzi wa kijijini na mjini ni kwamba mjini kiwanja utanunua aghali kulingana na area ila kwenye materials bei zinafanana kwa kiasi kikubwa.
 
Nadhani hujamsoma mleta mada vizuri.... Yeye anataka nyumba "yenye nafasi". Sasa wewe unazungumzia mabanda ya uani. Kitu kingine watu wanasahau nyumba ya choo. Sada hebu weka na ka mchakato ka choo hapo uone. Au labda mama wa watu ataenda kujisaidia kwa jirani?
Kama anatumia mkandarasi sawa ilamkwa tofali la tsh 1200 saruji 14000 mchanga 70000 mabati 18000 mbaya ft 10 10000
 
Hapana, nahitaji tofali za kawaida(sio za kuchoma).
sa hapo mbona ukianza na boma fresh hela ikikata unaezeka vyumba viwili unahamia na kupambana kumalizia mambo mengine
 
Assume nyumba yako itatumia bati 100 za gauge 30. 100@ 20000=2million
Misumari ya bati kilo 30@8000=240000/= kofia 20@10000=200000/= mbao 200@5500= 1100000/= na fisherboard 20@10000=200000/= na misumari ya nchi 4 kilo 45=130000/=

Jumla utapata = 3,840,000/= jumlisha hela ya fundi kama 800000/= kupaua jumla utapata 4,640,000/=

Chukua 10mil toa hiyo 4.6mil utabakiwa na kama 5.4 mil haya hiyo 5.4 ndo kwa ajili ya materials za kusimamisha boma na hela ya mafundi je unahisi itatosha?

Thus is why tunasema itakufikisha mahai ila haitamaliza
Ufafanuzi kama huu ndio unaotakiwa. Hapa tiari umetoa mwanga fulani, Sasa tungepata mtu wa kutupa details zaidi, yaani ukiamua kujenga nyumba ya vyumba viwili na sebule, jiko, na daining na choo. Idadi na gharama ya matofali, mawe na mchanga. Hapo tutajifunza mengi zaidi na sisi wengine tutapata nguvu pia.
 
Back
Top Bottom