Kipigo kipo pale pale mpaka sasa zimeshafika 77% kwa jemedari letu jiwe lililoimara kuliko mawe mengine yote kwa mwendo huu. Safari hii wa kwanza atabaki wa kwanza.
Watanzania bado hawapo tayari kutia shinikizo wao kwa wao ili kuondoa huu ufedhuli kwani japo mwishowe Magufuli na timu yake watapelekwa The Hague lkn baada ya damu nyingi kuwa imemwagika.
Hii paragraph ya pili ifanyiwe kazi
Hivyo njia pekee inayofaa ni vikwazo vya kiuchumi ambavyo kwa nchi tegemezi kama hii ni miezi kadhaa tu matokeo chanya yatakuwa yameonekana.
Hahahaa.... Hata mshindi hajatangazwa mmeshaanza kelele za tume huru, niliwaambia humu mara nyingi Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kuanzia kesho nyuzi zitajaa humu za tume huru. Vipi barabarani mmehairisha kuingia au mpaka Lissu aseme!?
Makosa ya hapa na pale huwa hayakosi katika uchaguzi wowote ule katika nchi nyingi.
Hata hao wazungu muwategemeao, huko kwao huwa na matatizo kadhaa katika zoezi la upigaji kura.
Jambo la msingi ni kwamba safari hii uchaguzi wa mwaka huu umegharamiwa na serikali ya Tanzania kwa asilimia 100.
Hivyo hao watu wa nje wamekosa cha kusema ama kushinikiza na wamebakia kutembelea vituo vya kupigia kura na kuridhika na taratibu zilizowekwa na tume wakati wa kupiga kura.
Balozi wa Marekani leo ametembelea vituo vya kupigia kura.
Jambo jingine ni kwamba hao wazungu muwategemeao, safari hii waenda kushindwa vibaya na watanzania ambao leo hii wanapiga kura kwa wingi (kumbuka wapiga kura ni milioni 29 na ushei hivi) na watakichagua chama cha mapinduzi.
Safari hii mkubali mmefeli "big time" na hakuna kisingizio cha tume huru wala kuibiwa kura.
Chadema mmekuwa mkishiriki chaguzi tangia mwaka 1995 na kitendo chenu cha kuamua kuwatumia wazungu kuikashifu serikali, taasisi ya uraisi, tume ya uchaguzi na watanzania kwa ujumla, leo mnapewa kichapo cha uhakika.
Ni kama alivyosema rafiki yangu msafisha viatu kwamba Tundu Lissu atashindwa vibaya sana uchaguzi huu.
Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam. Niliamua kujivinjari maeneo ya mjini Dar na nikapata nafasi ya kusafisha viatu vyangu kwa kuweka Kiwi. Kwa kawaida mimi ni...
Watanzania bado hawapo tayari kutia shinikizo wao kwa wao ili kuondoa huu ufedhuli kwani japo mwishowe Magufuli na timu yake watapelekwa The Hague lkn baada ya damu nyingi kuwa imemwagika.
Hivyo njia pekee inayofaa ni vikwazo vya kiuchumi ambavyo kwa nchi tegemezi kama hii ni miezi kadhaa tu matokeo chanya yatakuwa yameonekana.
Elimu bure inazalisha takataka kama wewe hapo, serikali ya chama chako kila siku kukinga bakuli kupokea misaada ya wazungu halafu wewe unashindia porojo hapa!
Wabongo tunategemewa sana kukombolewa. This is part of the problem. Vinchi vidogo kama Malawi vinaleta mabadiliko yanayohitaji wao wenyewe. Sisi tunataka Wazungu waje watusaidie! Tumeona Wapinzani wana support kiasi gani wakati wa kampeni. Hao watu wote wakiungana, kweli tume katiba mpya haitokuja?
Watanzania bado hawapo tayari kutia shinikizo wao kwa wao ili kuondoa huu ufedhuli kwani japo mwishowe Magufuli na timu yake watapelekwa The Hague lkn baada ya damu nyingi kuwa imemwagika.
Hivyo njia pekee inayofaa ni vikwazo vya kiuchumi ambavyo kwa nchi tegemezi kama hii ni miezi kadhaa tu matokeo chanya yatakuwa yameonekana.
Lakini kumbuka vikwazo nivyakwetu wote wa Tz sio wao. Na je hiyo Tume huru ikiundwa alafu bado ccm wakashinda tutakuwa tumebakiza kisingizio gani kingine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.