Sisi mlikuwa mnarukaruka kama vyura, hata kabla ya matokeo mmeanza kulialia kama vifaranga. Hapa kazi tu!Ni dhahiri kwamba Tume Ya Uchaguzi iliyopo si tume huru kama misingi ya chaguzi za kidemokrasia inavyohitaji...
hata mm hili ndio naliona tofauti na hapo hamna kitu aiseeWatanzania bado hawapo tayari kutia shinikizo wao kwa wao ili kuondoa huu ufedhuli kwani japo mwishowe Magufuli na timu yake watapelekwa The Hague lkn baada ya damu nyingi kuwa imemwagika.
Hii paragraph ya pili ifanyiwe kazi
Hivyo njia pekee inayofaa ni vikwazo vya kiuchumi ambavyo kwa nchi tegemezi kama hii ni miezi kadhaa tu matokeo chanya yatakuwa yameonekana.
nonsence [emoji706][emoji706]Hahahaa.... Hata mshindi hajatangazwa mmeshaanza kelele za tume huru, niliwaambia humu mara nyingi Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kuanzia kesho nyuzi zitajaa humu za tume huru. Vipi barabarani mmehairisha kuingia au mpaka Lissu aseme!?
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Makosa ya hapa na pale huwa hayakosi katika uchaguzi wowote ule katika nchi nyingi.
Hata hao wazungu muwategemeao, huko kwao huwa na matatizo kadhaa katika zoezi la upigaji kura.
Jambo la msingi ni kwamba safari hii uchaguzi wa mwaka huu umegharamiwa na serikali ya Tanzania kwa asilimia 100.
Hivyo hao watu wa nje wamekosa cha kusema ama kushinikiza na wamebakia kutembelea vituo vya kupigia kura na kuridhika na taratibu zilizowekwa na tume wakati wa kupiga kura.
Balozi wa Marekani leo ametembelea vituo vya kupigia kura.
Jambo jingine ni kwamba hao wazungu muwategemeao, safari hii waenda kushindwa vibaya na watanzania ambao leo hii wanapiga kura kwa wingi (kumbuka wapiga kura ni milioni 29 na ushei hivi) na watakichagua chama cha mapinduzi.
Safari hii mkubali mmefeli "big time" na hakuna kisingizio cha tume huru wala kuibiwa kura.
Chadema mmekuwa mkishiriki chaguzi tangia mwaka 1995 na kitendo chenu cha kuamua kuwatumia wazungu kuikashifu serikali, taasisi ya uraisi, tume ya uchaguzi na watanzania kwa ujumla, leo mnapewa kichapo cha uhakika.
Ni kama alivyosema rafiki yangu msafisha viatu kwamba Tundu Lissu atashindwa vibaya sana uchaguzi huu.
Tungoje matokeo ya uchaguzi na maisha yaendelee.
Uchaguzi 2020 - Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya
Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam. Niliamua kujivinjari maeneo ya mjini Dar na nikapata nafasi ya kusafisha viatu vyangu kwa kuweka Kiwi. Kwa kawaida mimi ni...www.jamiiforums.com
Watanzania bado hawapo tayari kutia shinikizo wao kwa wao ili kuondoa huu ufedhuli kwani japo mwishowe Magufuli na timu yake watapelekwa The Hague lkn baada ya damu nyingi kuwa imemwagika.
Hivyo njia pekee inayofaa ni vikwazo vya kiuchumi ambavyo kwa nchi tegemezi kama hii ni miezi kadhaa tu matokeo chanya yatakuwa yameonekana.
Hizi ndio akili ambazo serikali inatumia fedha zake kuzipa elimu,
Yaani kila Jambo wanategemea msaada toka kwa wazungu.
No need msukumo wa nje sisi wenyewe ndani tutalibeba hili usitegemee mtu akufanyie kazi ya kukukomboa
Lakini kumbuka vikwazo nivyakwetu wote wa Tz sio wao. Na je hiyo Tume huru ikiundwa alafu bado ccm wakashinda tutakuwa tumebakiza kisingizio gani kingine?Watanzania bado hawapo tayari kutia shinikizo wao kwa wao ili kuondoa huu ufedhuli kwani japo mwishowe Magufuli na timu yake watapelekwa The Hague lkn baada ya damu nyingi kuwa imemwagika.
Hivyo njia pekee inayofaa ni vikwazo vya kiuchumi ambavyo kwa nchi tegemezi kama hii ni miezi kadhaa tu matokeo chanya yatakuwa yameonekana.
Hizi ndio akili ambazo serikali inatumia fedha zake kuzipa elimu,
Yaani kila Jambo wanategemea msaada toka kwa wazungu.