Je, Shule kufungiwa safari za mafunzo nchini baada ya ajali ya gari la shule Mtwara?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Badda ya ajali ya leo 26-07-2022 huko Mtwara Shule nyingi sana zimepanga kuwapeleka wanafunzi study tour mikoa tofauti tofauti. Maandalizi na usafiri wanataka kutumia ni school bus ect

Binafsi nazipinga hizi safari maana madereva wa magari ya shule hawaja zoea long safari Ni hatari hizi sa safari

cccc.jpeg
cccc.jpeg

Safari zilizopangwa mwezi huu wa likizo mpaka kipindi cha sensa zifutwe, madereva kama ni muhimu wachukuliwe wenye uzoefu na kujua barabara husika.

Watoto wahnaanza mapenzi kwenye the so called study tour na mambo mengine machafu.
 
Binafsi nazipinga hz safari maana madereva wa magari ya shule hawaja zoea long safari Ni hatari hizi sa safariView attachment 2304452View attachment 2304452

safari zilizopangwa mwezi huu wa likizo mpaka kipindi cha sensa zifutwe, madereva kama ni muhimu wachukuliwe wenye uzoefu na kujua barabara husika.
Watoto wahnaanza mapenzi kwenye the so called study tour na mambo mengine machafu.
Wacha wanafunzi wapate good times. Kama ni wivu wa mapenzi hata wewe ulizaliwa kupitia mapenzi. Kikubwa funda wanao na uache wivu.

Ratiba zimulikwe na magari yakaguliwe yawe mazuri.

Watoto lazima wachangamke, wajifunze na kuona mambo mengine mengi na sio shuleni na nyumbani tu siku zote.
 
sikio la kufa halisikii dawa.wewe endelea kupayuka, haya
 
Mbona kila baada ya siku kadhaa mabasi makubwa ya abiria yanapata ajali na kuua mbona hawafungiwi?
Waache madenti wakale maisha au huna pesa ya kumlipia mwanao "study tour" unatafuta sababu?
Acha janjajanja aisee!
 
Anaweza asiende Study tour akaagizwa dukani pia ajali ikamkuta kikubwa ni umakini wa dereva na sheria zifuatwe
 
Badda ya ajali ya leo 26-07-2022 huko Mtwara Shule nyingi sana zimepanga kuwapeleka wanafunzi study tour mikoa tofauti tofauti. Maandalizi na usafiri wanataka kutumia ni school bus ect

Binafsi nazipinga hizi safari maana madereva wa magari ya shule hawaja zoea long safari Ni hatari hizi sa safari

View attachment 2304452View attachment 2304452

Safari zilizopangwa mwezi huu wa likizo mpaka kipindi cha sensa zifutwe, madereva kama ni muhimu wachukuliwe wenye uzoefu na kujua barabara husika.

Watoto wahnaanza mapenzi kwenye the so called study tour na mambo mengine machafu.
siku ⚰ikifika imefikatu huwezi pinga wapumzike kwa amani🙏🙏
 
Back
Top Bottom