Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Wacha wanafunzi wapate good times. Kama ni wivu wa mapenzi hata wewe ulizaliwa kupitia mapenzi. Kikubwa funda wanao na uache wivu.Badda ya ajali ya leo 26-07-2022 huko Mtwara Shule nyingi sana zimepanga kuwapeleka wanafunzi study tour mikoa tofauti tofauti. Maandalizi na usafiri wanataka kutumia ni school bus ect
Binafsi nazipinga hz safari maana madereva wa magari ya shule hawaja zoea long safari Ni hatari hizi sa safariView attachment 2304452View attachment 2304452
safari zilizopangwa mwezi huu wa likizo mpaka kipindi cha sensa zifutwe, madereva kama ni muhimu wachukuliwe wenye uzoefu na kujua barabara husika.
Watoto wahnaanza mapenzi kwenye the so called study tour na mambo mengine machafu.
sikio la kufa halisikii dawa.wewe endelea kupayuka, hayaWacha wanafunzi wapate good times. Kama ni wivu wa mapenzi hata wewe ulizaliwa kupitia mapenzi. Kikubwa funda wanao na uache wivu.
Ratiba zimulikwe na magari yakaguliwe yawe mazuri.
Watoto lazima wachangamke, wajifunze na kuona mambo mengine mengi na sio shuleni na nyumbani tu siku zote.
siku ⚰ikifika imefikatu huwezi pinga wapumzike kwa amani🙏🙏Badda ya ajali ya leo 26-07-2022 huko Mtwara Shule nyingi sana zimepanga kuwapeleka wanafunzi study tour mikoa tofauti tofauti. Maandalizi na usafiri wanataka kutumia ni school bus ect
Binafsi nazipinga hizi safari maana madereva wa magari ya shule hawaja zoea long safari Ni hatari hizi sa safari
View attachment 2304452View attachment 2304452
Safari zilizopangwa mwezi huu wa likizo mpaka kipindi cha sensa zifutwe, madereva kama ni muhimu wachukuliwe wenye uzoefu na kujua barabara husika.
Watoto wahnaanza mapenzi kwenye the so called study tour na mambo mengine machafu.