michael masala
New Member
- Jun 6, 2024
- 3
- 0
Mchezo huo mchafu unaamua nani awe Rais wa nchi
2. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Makamu wa Rais
3. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri mkuu
4. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri
5. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Mkuu wa majeshi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mkuu wa Idara ya Usalama wa taifa, Mkuu wa Magereza, Mkuu wa Jeshi la kujenga taifa
6. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe katibu mkuu kiongozi na makatibu wakuu wa kila wizara
7. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Jaji mkuu na nani awe mwanasheria mkuu
8. Mchezo huu mchafu ndio unaamua nani awe msajili wa makanisa na taasisi za kijamii
9. Mchezo huu mchafu ndio unaoamua nani awe mkuu wa mkoa, katibu tawala wa mkoa, mkuu wa wilaya, katibu tawala wilaya, na viongozi wa ngazi za mkoa na wilaya zote
10. Mchezo huu mchafu ndio unaoamua nani awe kamishna mkuu wa TRA, aamue usalama wa kodi za wananchi
11. Mchezo huu mchafu ndio unaamua uongozi wa bandari yalipo mapato makubwa ya nchi
12. Mchezo huu mchafu ndio unaoamua ustawi wa taifa au kudorora kwa taifa