Vugu-Vugu
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 1,381
- 1,600
amani iwe kwenu,
Kwa wale wote mliowahi kuwa karibu na David Kafulila kwa nyakati na sehemu tofauti tofauti nje na ndani ya siasa mtusaidie kujibu maswali haya,
1. Je, ni kweli kwamba huyu David Kafulila anachukia rushwa kwa moyo wake wote na kwanguvu zake zote kama tunavyoambiwa?
2. Je, ni kweli kwamba David Kafulila hajawahi kupiga dili lolote la pesa tangu akiwa Mbunge, RAS, RC na sasa PPP-Center kama tunavyoambiwa?
3. Je, ni kweli kwamba David Kafulila alikataa zaidi ya TZS 3bilioni za Tegeta Escrow mwaka 2014 kama tunavyoambiwa?
4. Je, ni kweli kwamba David Kafulila anauchukia Ufisadi na Mafisadi toka ndani ya moyo wake kama tunavyoambiwa?
5. Je, ni kweli kwamba David Kafulila hajawahi kuhusishwa kabisa na kashfa zozote za rushwa au ufisadi kipindi chote Cha utumishi wake Serikalini kama tunavyoambiwa?
6. Je, ni kweli kwamba David Kafulila alirudisha chenji ya TZS 2 bilíoni kutoka katika TZS 6 bilioni alizopewa kujenga Makao Makuu ya Mkoa wa Songwe kwa BOQ ile ile kama tunavyoambiwa?
7. Je, ni kweli David Kafulila alipoteza ndoa yake na Jesca Kishoa kwa sababu ya maisha duni ya Kizalendo anayoishi kama tunavyoambiwa?
Comments ziwe fupifupi