Bezecky
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 494
- 897
Daaah kweli Waha hamnazo👀Kukataa hizo bil 3 za Escrow ni kweli mengine sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah kweli Waha hamnazo👀Kukataa hizo bil 3 za Escrow ni kweli mengine sijui
Kapata nini?U
Unafurahia watu kuiba?
amani iwe kwenu,
Kwa wale wote mliowahi kuwa karibu na David Kafulila Kwa nyakati na sehemu tofauti tofauti nje na ndani ya siasa mtusaidie kujibu maswali haya,
1. Je, ni kweli kwamba huyu Kafulila anachukia rushwa kwa moyo na kwa nguvu zake zote kama tunavyoambiwa?
2. Je, ni kweli kwamba Kafulila hajawahi kupiga dili lolote la pesa tangu akiwa Mbunge, RAS, RC na sasa PPP-Center kama tunavyoambiwa?
3. Je, ni kweli kwamba Kafulila alikataa zaidi ya TZS 3bilioni za Escrow mwaka 2014 kama tunavyoambiwa?
4. Je, ni kweli kwamba Kafulila anachukia Ufisadi na Mafisadi toka ndani ya moyo wake kama tunavyoambiwa?
5. Je, ni kweli kwamba huyu jamaa hajawahi kuhusishwa na Kashfa za rushwa au ufisadi kipindi chote Cha utumishi wake Serikalini kama tunavyoambiwa?
Comment ziwe fupifupi
Kwakweli huyu jamaa ni miongoni mwa wazalendo wa nchi hiiKama kweli haya yanayosemwa juu ya Kafulila ni kweli basi huyu jamaa ni mwanasiasa bora sana hata kama hatumtaki.
Mtu anayeweza kukataa 3b sio wakuleta nae mzaha kwani Mimi hata 50m ningepiga kimya,
anastahili pongezi kubwa
Hapa mke lazima akimbie unakataaje 3b?amani iwe kwenu,
Kwa wale wote mliowahi kuwa karibu na David Kafulila Kwa nyakati na sehemu tofauti tofauti nje na ndani ya siasa mtusaidie kujibu maswali haya...
Kapata nini kama sio matusi na kuitwa ngedere!Wewe Mtoza Ushuru unakataaje pesa ?!
Taifa limekuwa na vijana wa ajabu sana
Nchi hii ukizungumza mazuri ya mtu unaitwa chawaJibu ni kuwa Mheshimiwa David Kafulila ni mtu na kiongozi alinyeooka kama rula.alipokuwa RAS mkoa wa Songwe alipewa takribani Billion 6 kwa ajili ya ujenzi wa Makao makuu ya mkoa.lakini alimaliza vizuri ujenzi na kwa ubora wa hali ya juu kwa kutumia Billion 4 Tu na kuacha chenji ya takribani Billion 2. Jambo ambalo liliteka hisia za watu wengi sana ambao wanaendelea kumkumbuka na kumpongeza sana kwa uzalendo huo aliouonyesha wa uaminifu na uadilifu wa kiwango cha juu. Mheshimiwa hana uroho wala tamaa ya pesa chafu.
Angekuwa na uroho na tamaa ya pesa na kutaka utajiri wa njia fupi basi angejipatia mapesa mengi sana katika sakata la Escrow. Lakini Mheshimiwa alisimama kwa ajili ya Taifa na maslahi ya Taifa kupigania pesa na kodi za watanzania wanyonge.
Kiufupi Mheshimiwa Kafulila ni mtu msafi asiye na doa la aina yoyote ile la ufisadi au rushwa. hapo sijazungumzia makubwa aliyoyafanya alipokuwa RC Simiyu .na namna alivyo mrudisha mkandarasi kurudia ujenzi wa barabara kwa gharama zake mwenyewe baada ya kugundulika amejenga chini ya kiwango.
Watanzania wazalendo wanafahamu uzalendo, uadilifu na Uchapakazi alio nao Mheshimiwa David Kafulila.wanatambua ya kuwa ni hazina kwa Taifa letu na mtu wa kuaminika na kuaminiwa .Nchi hii ukizungumza mazuri ya mtu unaitwa chawa
Wanataka tuzungumze mabaya tu
Kwako Cde Lucas Mwashambwa 😞😞
7. Je, ni kweli Kafulila alipoteza ndoa kwa sababu ya maisha duni anayoishi kama tunavyoambiwa?amani iwe kwenu,
Kwa wale wote mliowahi kuwa karibu na David Kafulila Kwa nyakati na sehemu tofauti tofauti nje na ndani ya siasa mtusaidie kujibu maswali haya,
1. Je, ni kweli kwamba huyu Kafulila anachukia rushwa kwa moyo na kwa nguvu zake zote kama tunavyoambiwa?
2. Je, ni kweli kwamba Kafulila hajawahi kupiga dili lolote la pesa tangu akiwa Mbunge, RAS, RC na sasa PPP-Center kama tunavyoambiwa?
3. Je, ni kweli kwamba Kafulila alikataa zaidi ya TZS 3bilioni za Escrow mwaka 2014 kama tunavyoambiwa?
4. Je, ni kweli kwamba Kafulila anachukia Ufisadi na Mafisadi toka ndani ya moyo wake kama tunavyoambiwa?
5. Je, ni kweli kwamba huyu jamaa hajawahi kuhusishwa na Kashfa za rushwa au ufisadi kipindi chote Cha utumishi wake Serikalini kama tunavyoambiwa?
6. Je, ni kweli kwamba Kafulila alirudisha chenji ya TZS 2bil kutoka katika TZS 6bil alizopewa kujenga Makao Makuu ya Mkoa wa Songwe kama tunavyoambiwa?
7. Je, ni kweli Kafulila alipoteza ndoa kwa sababu ya maisha duni anayoishi kama tunavyoambiwa?
Comment ziwe fupifupi
tulia boya wewe, hii ni platform huru wewe nani wa kupanga nani wa kukujibu, akujibu vipi na nani akae kimya? huyo kafulila anyekutuma nae mshamba tu kama weweNadhani ungejibu hoja zangu na kama huna jibu kaaa kimya mambo ya kuita watu majobless ni ujinga zaidi ya huu
Naona machawa promax mnafarijianaWatanzania wazalendo wanafahamu uzalendo, uadilifu na Uchapakazi alio nao Mheshimiwa David Kafulila.wanatambua ya kuwa ni hazina kwa Taifa letu na mtu wa kuaminika na kuaminiwa .
Nadhani ingependeza kama ungekuja na hoja kupinga kwamba sio kweli jamaa amewahi kupiga dili hapa au pale.tulia boya wewe, hii ni platform huru wewe nani wa kupanga nani wa kukujibu, akujibu vipi na nani akae kimya? huyo kafulila anyekutuma nae mshamba tu kama wewe
Hongera sana Kafulila Kwa uzalendoamani iwe kwenu,
Kwa wale wote mliowahi kuwa karibu na David Kafulila Kwa nyakati na sehemu tofauti tofauti nje na ndani ya siasa mtusaidie kujibu maswali haya,
1. Je, ni kweli kwamba huyu Kafulila anachukia rushwa kwa moyo na kwa nguvu zake zote kama tunavyoambiwa?
2. Je, ni kweli kwamba Kafulila hajawahi kupiga dili lolote la pesa tangu akiwa Mbunge, RAS, RC na sasa PPP-Center kama tunavyoambiwa?
3. Je, ni kweli kwamba Kafulila alikataa zaidi ya TZS 3bilioni za Escrow mwaka 2014 kama tunavyoambiwa?
4. Je, ni kweli kwamba Kafulila anachukia Ufisadi na Mafisadi toka ndani ya moyo wake kama tunavyoambiwa?
5. Je, ni kweli kwamba huyu jamaa hajawahi kuhusishwa na Kashfa za rushwa au ufisadi kipindi chote Cha utumishi wake Serikalini kama tunavyoambiwa?
6. Je, ni kweli kwamba Kafulila alirudisha chenji ya TZS 2bil kutoka katika TZS 6bil alizopewa kujenga Makao Makuu ya Mkoa wa Songwe kama tunavyoambiwa?
7. Je, ni kweli Kafulila alipoteza ndoa kwa sababu ya maisha duni anayoishi kama tunavyoambiwa?
Comment ziwe fupifupi
Acheni propaganda, bilioni tatu angelipwa na nani na kwasababu gani? Zile zilikuwa mbwbwe za kisiasa kipindi kile.Kama kweli haya yanayosemwa juu ya Kafulila ni kweli basi huyu jamaa ni mwanasiasa bora sana hata kama hatumtaki.
Mtu anayeweza kukataa 3b sio wakuleta nae mzaha kwani Mimi hata 50m ningepiga kimya,
anastahili pongezi kubwa