Je, sifa anazopewa Kafulila zina ukweli wowote?

Ni yaleyale ya kununua wapiga debe
Anajipogia promo sana mwenyewe mitandaoni hasa humu jamii forums ana Id kibao
Kuzijua unaaangakia tu aina ya uandishi tu

Kama hii mada ya kwake kaianzisha
 
amani iwe kwenu,

Kwa wale wote mliowahi kuwa karibu na David Kafulila Kwa nyakati na sehemu tofauti tofauti nje na ndani ya siasa mtusaidie kujibu maswali haya,

1. Je, ni kweli kwamba huyu Kafulila anachukia rushwa kwa moyo na kwa nguvu zake zote kama tunavyoambiwa?

2. Je, ni kweli kwamba Kafulila hajawahi kupiga dili lolote la pesa tangu akiwa Mbunge, RAS, RC na sasa PPP-Center kama tunavyoambiwa?

3. Je, ni kweli kwamba Kafulila alikataa zaidi ya TZS 3bilioni za Escrow mwaka 2014 kama tunavyoambiwa?

4. Je, ni kweli kwamba Kafulila anachukia Ufisadi na Mafisadi toka ndani ya moyo wake kama tunavyoambiwa?

5. Je, ni kweli kwamba huyu jamaa hajawahi kuhusishwa na Kashfa za rushwa au ufisadi kipindi chote Cha utumishi wake Serikalini kama tunavyoambiwa?

6. Je, ni kweli kwamba Kafulila alirudisha chenji ya TZS 2bil kutoka katika TZS 6bil alizopewa kujenga Makao Makuu ya Mkoa wa Songwe kama tunavyoambiwa?

7. Je, ni kweli Kafulila alipoteza ndoa kwa sababu ya maisha duni anayoishi kama tunavyoambiwa?

Comment ziwe fupifupi
Upuuzi tuu hana lolote spesho
 
Mbinu anayotumia ni ya kitoto sana
 
😁😁 Kumbe na Mimi nae ni Kafulila?

Sasa ni bora ungejibu hayo maswali kama ni kweli au sio kweli kuliko huu ushamba unaouonesha hapa.

Huyo Mbowe wako anaweza kukataa 3bn kweli to be honest?

Huyo Lissu wako anaweza kukataa hela cash 3bn?

Vyie vijana kuweni makini sana otherwise kama Taifa tutaishia pabaya kama akili ni hizi zenu.

Mtu anayerudisha chanji ya 2bn kati 6bn alizopewa wewe unamchukiliaje poa?

Tumieni hayo mafuvu yenu vizuri,

Mimi napenda wazalendo na nitasema mazuri ya wazalendo wote tena wazi wazi.

Tanzania tuna kizazi ambacho kinahamasisha wizi, rushwa, Upigaji na mtu anayetetea Uzalendo anaitwa Chawa

Shame on you!!!!
 
Fuatilia kwa kina kilichomtoa CDM
Mtu kama Kafulila anayeweza kurejesha chenji ya Watanzania masikini zaidi ya 2bn au kukataa rushwa ya zaidi ya 3bn anakaaje CHADEMA Kwa mfano hebu tuweni wakweli ?

CHADEMA Chama Cha vibaraka na walanguzi wa Siasa wa nchi hii kama akina Mbowe wanalioko madarakani miongo 3 zaidi ya miaka 30,

Chama kama hiki anakaaje Mtu msafi kama Kafulila?

You guys be serious,get serious

Haya mnajifanya mnapinga rushwa na ufisadi why Sasa msimuunge mkono huyu anayeyaishi hayo kwa vitendo?

CHADEMA chama kimejaa wahuni, walafi, majizi, mandumilakuwili eti ndio Kafulila aishi huko?

Very sorry guys mtasungua sana kama hamjui nini mnataka kwa Watanzania hawa.

Watanzania wanataka mtu mzalendo aina ya akina Kafulila na wengine regardless anatoka chama gani ila awe mzalendo kwa Taifa lake na watu wake.
 
@
Upuuzi tuu hana lolote spesho
Cde ChoiceVariable ,

Nakuheshimu sana mkuu tuko na wewe humu tangu ukiwa na jina lile,

Hebu kwa heshima ile ile, nijibu hayo maswali hapo juu ili tujitofautishe,

Weka madhambi ya Kafulila hapa jukwaani kama unayajua kama huna tuamini Sasa haya tunayoyasikia
 
Mbinu anayotumia ni ya kitoto sana
Hii yako ni ya ukichaa kabisa,
Heri watoto wanaakili sana hawawezi kuwa kama wewe.

Unahangaikaje na I'd wakati unajua kabisa hapa Jf ni mwendo wa I'd fake?

Au unadhani Jf walikuwa wajinga kusema tutatumia I'd fake?

#Jielekeze Kwenye mada tu sio kwa mtoa mada.
 
Hii yako ni ukichaa kabisa watoto wanaakili sana hawawezi kuwa kama wewe.
Unahangaikaje na I'd wakati unajua kabisa hapa Jf ni mwendo wa I'd fake?

Au unadhani Jf walikuwa wajinga kusema tutatumia I'd fake?
🖕
 
amani iwe kwenu,

Kwa wale wote mliowahi kuwa karibu na David Kafulila Kwa nyakati na sehemu tofauti tofauti nje na ndani ya siasa mtusaidie kujibu maswali haya,

1. Je, ni kweli kwamba huyu Kafulila anachukia rushwa kwa moyo na kwa nguvu zake zote kama tunavyoambiwa?

2. Je, ni kweli kwamba Kafulila hajawahi kupiga dili lolote la pesa tangu akiwa Mbunge, RAS, RC na sasa PPP-Center kama tunavyoambiwa?

3. Je, ni kweli kwamba Kafulila alikataa zaidi ya TZS 3bilioni za Escrow mwaka 2014 kama tunavyoambiwa?

4. Je, ni kweli kwamba Kafulila anachukia Ufisadi na Mafisadi toka ndani ya moyo wake kama tunavyoambiwa?

5. Je, ni kweli kwamba huyu jamaa hajawahi kuhusishwa na Kashfa za rushwa au ufisadi kipindi chote Cha utumishi wake Serikalini kama tunavyoambiwa?

6. Je, ni kweli kwamba Kafulila alirudisha chenji ya TZS 2bil kutoka katika TZS 6bil alizopewa kujenga Makao Makuu ya Mkoa wa Songwe kama tunavyoambiwa?

7. Je, ni kweli Kafulila alipoteza ndoa kwa sababu ya maisha duni anayoishi kama tunavyoambiwa?

Comment ziwe fupifupi
6. Je, ni kweli kwamba Kafulila alirudisha chenji ya TZS 2bil kutoka katika TZS 6bil alizopewa kujenga Makao Makuu ya Mkoa wa Songwe kama tunavyoambiwa?

Hii ni kweli Kwa mujibu wa Lucas Mwashambwa wa Umalila😄😄
 
Hao wanaompa sifa watamponza bure apewe sumu, huko CCM sasa kulambishana sumu ndiyo mpango mzima.
 
@

Cde ChoiceVariable ,

Nakuheshimu sana mkuu tuko na wewe humu tangu ukiwa na jina lile,

Hebu kwa heshima ile ile, nijibu hayo maswali hapo juu ili tujitofautishe,

Weka madhambi ya Kafulila hapa jukwaani kama unayajua kama huna tuamini Sasa haya tunayoyasikia
Kaupepo tuu kama kale la Antony Mtaka 😆😆

Mwisho Mimi sio comrede Bali ni shabikia binafsi wa Samia
 
Humu wamejaa chawa pro max mijitu imekaa kusifia mwanaume mwenzenu kwani aliwafilimba nn 🤣🤣🤣kafulila kafulila toeni ujinga wenu hapa.Hamuoni hata aibu kwa lipi sasa huyo Muha kafanya hapa tz ndo awe wimbo achen ujinga nyie.Mama zenu walipata shida sana kuwazaa harafu nyie mnakuja kuwa mafala na chawa dah...
 
Unajua ushabiki wa Siasa ni kama ushabiki wa Michezo
Utakuta watu wanamshabikia Aziz au Mayele bila kujali jinsia zao

Kama watu wanafurahishwa na mienendo ya Kafulila sioni kosa kama wanamsema na kumsemea vizuri.
 
Back
Top Bottom