Je, sifa anazopewa Kafulila zina ukweli wowote?

Mwandishi amesahau swali muhimu zaidi kuliko yote:

8. Je, ni kweli kwamba David Kafulila anayo akili timamu inayomwezesha kufanya uchambuzi na usanisi wa kirazini kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi, na hivyo kuwa ndani ya kundi la watu wanaoitwa wajasiriadola mahiri?

Na kutokana na historia yake ninayoifahamu jawabu langu ni ndiyo.
 
Je, ni raia?
 
anyway, Kafulila yuko poa, nadhani moja ya jambo analotakiwa fanya kwa sasa ni kuachana na siasa za JF na kujikita na ubunifu huko PPP. aone wenzake waliopo TIC & TPSF wanapiga kazi zinaonekana, yeye anapiga domo na sio kazi.

Nakushauri Kafulila fanya ubunifu kwa nafasi uliyonayo, jitangaze kwa mazuri unayoyafanya kwenye hiyo nafasi na sio propaganda hizi za JF. Watu hawatokukumbuka kwa hizi propaganda.
 
Kwani hapa Jf anajijadili au wanamjadili?
 
Ngoja tuone
 
Ni yaleyale ya kununua wapiga debe
Hakuna mtanganyika aliaminika hapendi Wala hali rushwa kama Mr Clean'3",lakini tuambiwa kwa 70.m tu alimiliki "Kiwira Coal mine".mwache huyu anapishana tu na bomba la ufissdi,hutaamini siku akiingiza kichwa,itakuwa kama ile story ya Mbuni.
 
Tanzania inamambo mengi sana ngoja tuone hiyo 2030
 
🤣🤣🤣
 
My role model
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…