matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Eliya alifufua
Elisha alifufua
Yesu alifufua
Paulo alifufua
Petro alifufua.
Watumishi wote wamepewa amri sio ombi "Kufufua".
Kipindi cha nyuma Askofu Gwajima alijitahidi kuonyesha nia bila matunda dhahiri.
Sasa watumishi, walokole, wasabato,wakatoliki,mashehe, watambikaji inakuaje mnakaa kimya wakati wananchi tunaona viongozi wa muhimu wanatutoka wakati tunawahitaji na nyie mko kimya?
Tatizo nini watumishi. Kama mmeshindwa kutii amri ya Yesu ya kufufua basi mtubatize basi sisi wafilisti tufanye hiyo kazi.
Nawaza nikiwa hapa kwenye kijiwe cha kahawa baada ya kulewa chai za wazee.