matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
HahahahaTeknolojia inaondoa uongo uongo, kuna siku hata stori za dini na uchawi zitaisha kabisaa..
Umesahau zile stori za zamani jini mrefu kaonekana bondeni kavaa kanzu...
Walai namfufua tumalizane.Pale akifa unaemdai..😂
Sasa hivi naamini ila siku ya kwanza sikuamini.Huamini kama jiwe amekwenda
Unaweza kuthibitisha walifufuka?Eliya alifufua
Elisha alifufua
Yesu alifufua
Paulo alifufua
Petro alifufua.
Watumishi wote wamepewa amri sio ombi "Kufufua".
Kipindi cha nyuma Askofu Gwajima alijitahidi kuonyesha nia bila matunda dhahiri.
Sasa watumishi, walokole, wasabato,wakatoliki,mashehe, watambikaji inakuaje mnakaa kimya wakati wananchi tunaona viongozi wa muhimu wanatutoka wakati tunawahitaji na nyie mko kimya?
Tatizo nini watumishi. Kama mmeshindwa kutii amri ya Yesu ya kufufua basi mtubatize basi sisi wafilisti tufanye hiyo kazi.
Nawaza nikiwa hapa kwenye kijiwe cha kahawa baada ya kulewa chai za wazee.
Umeme umesaidia maana shetani anapenda giza.Hahahaha
Kuna mdau aliona mtu kabeba mfuko wa simenti usiku akatoka nduki akisema ameona mtu hana kichwa anatembea.
Hizo swaga za jini chooni, ulikuwa ujima
Kama kawaida yako, Uzi kama huu lazima upitie.Unaweza kuthibitisha walifufuka?
Kwanza kabisa, mimi si binadamu.Kama kawaida yako, Uzi kama huu lazima upitie.
huoni kama unapoteza muda wako wewe binadamu?