Mageseunique
Member
- Mar 23, 2011
- 6
- 1
Only God knows kitakachotokea....!
mi namwamsha huyo mwizi kisha namuambia kulala kwa watu si tabia njema.
Ntawaandalia na breakfast ili wapate wakishaoga baada ya kuamka., ila atakaye kataa ndo hapo matatizo yataanza..!!
Simple unaondoka zako that's the end of it no compromising
Hakuna haja ya kuanza kuulizana why did you cheat on me? Wakati unaona tayari jambo ambalo limeishatokeawell said,,,one compliment for this wonderful post