Je siku ukimkuta mtu chumbani kwako kalala na mpenzi wako utachukua hatua gani...?

Je siku ukimkuta mtu chumbani kwako kalala na mpenzi wako utachukua hatua gani...?

Huwezi kutabiria, kwani hasira ni ya pale pale. Ndiyo maana unasikia wengine wameua bila ya kukusudia.

Mzee usiombe wengine unaweza hata kuzimia kabisa.
 
nae unageuza na unakula mboga yote, tena mbele ya mpenzi wako
 
Kama ni chumbani kwangu kama unavyosema, kwa moyo baridi kama barafu, nitawapa dakika kumi watoke hapo mimi nikiwa nje ninasubiri waondoke, bila ya bla bla bla. Ikiwa ni chumbani kwa mpenzi/mke wangu, ninamuomba anitolee vilivyovyangu muhimu nilale kwa mbele.
 
mi namwamsha huyo mwizi kisha namuambia kulala kwa watu si tabia njema.
 
hapo matendo yasiyo ya jiyari hutokea, huwezi kupanga...unaweza ukaua mtu, au ukazimia au ukabaki umeduwaa au ukachukulia poa tu...
 
Du nakuwa mpole tu mbona ni kama daladala nashuka napanda lingine, mtu ana meno 32 ni wangapi wamempitia sembuse huyo aliyemleta ndani, ujue kun vingi amenizidi, huenda magumi. Du km nimemzidi nitamtishia Bruce Lee.
ndugu zangu haya mavitu si ya kugombania
 
mi namwamsha huyo mwizi kisha namuambia kulala kwa watu si tabia njema.

Hahahahahahahah Nazjaz
Umenichekesha kwa kweli
kwa hiyo amesha iba lakini kasahau kukimbia
Daaahhh kuna raha humu ndani
 
Ntawaandalia na breakfast ili wapate wakishaoga baada ya kuamka., ila atakaye kataa ndo hapo matatizo yataanza..!!
 
heheh si watajuwa umewaekea poison jamanii...hata mie sitakunywa lool yaani nimekuibia then wanikaribisha na chai wallah siinywi,,
Ntawaandalia na breakfast ili wapate wakishaoga baada ya kuamka., ila atakaye kataa ndo hapo matatizo yataanza..!!
 
mmh!!! hata sijui ntachukua uamuzi gani,
ngoja nisubiri itokee then ntajua cha kufanya.
 
Simple unaondoka zako that's the end of it no compromising
 
Lazima ufikirie hatua mpya isiyo na umwagaji damu. Na pia sio lazima kugombana anza mbele.
 
Back
Top Bottom