Je, siku ya hukumu, ataangua kilio au atapiga mayowe na kurusha mikono hewani tu na makelele yake juu?

Je, siku ya hukumu, ataangua kilio au atapiga mayowe na kurusha mikono hewani tu na makelele yake juu?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Maana siku za hukumu huwa kuna vimbwanga vituko na taharuki za za kila aina.

Kwa mtazamo wako huru, unadhani siku ya hukumu ya uhaini, hali itakuaje kizimbani wakati au baada ya hukumu kusomwa?

Tutarajie mayowe na makelele?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom