Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 51,453 Reaction score 41,274 Sep 12, 2026 #1 Maana siku za hukumu huwa kuna vimbwanga vituko na taharuki za za kila aina. Kwa mtazamo wako huru, unadhani siku ya hukumu ya uhaini, hali itakuaje kizimbani wakati au baada ya hukumu kusomwa? Tutarajie mayowe na makelele?🐒 Mungu Ibariki Tanzania.
Maana siku za hukumu huwa kuna vimbwanga vituko na taharuki za za kila aina. Kwa mtazamo wako huru, unadhani siku ya hukumu ya uhaini, hali itakuaje kizimbani wakati au baada ya hukumu kusomwa? Tutarajie mayowe na makelele?🐒 Mungu Ibariki Tanzania.