Je, siku ya kwanza kutongoza/kutongozwa ilikuwaje?

Saint_Mwakyoma

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
865
Reaction score
1,208
Karibuni wana jukwaa tukumbushane tukio hili ambalo ni gumu kusahaulika kwenye maisha ya mtu. Pia, kuonyesha utofauti wa aina ya utongozaji wa zamani na sasa [emoji23][emoji23]

Dhumuni la uzi huu ni kufurahi pamoja na kuondoa mawazo yasiyo msingi.

Karibuni Sana[emoji120]
 
tuambiE kwanza kwako ilikuwaje?
Nakumbuka kitambo..
Rafiki yangu wa muda mrefu Sana tumekua wote udogoni mpaka ukubwani nikasikia story wanataka kuhama dar-es-salaam wahamie Tanga mzee ikanibidi wiki hiyo nivunje ukimya nikampange kua nampenda .kufika kwa bibie sasa kila nikimpanga wapi anachomoa nikaondoka na hasira zangu mishale ya usiku Sana akanitumia text kua kwao anabaki mwenyewe wazazi na madogo wanatangulia kesho yake asubuhi. Palipo kucha tu nikaenda bhana nikajilia honey moon swafi uku tukiandaa usafirishaji wa mizigo.
 
Mimi hata sikumbuki kama nilitongoza , ni vile tu tulikuwa tunacheza kwenye bembea tukawa tunakutana kati kati (bembea zilikuwa mbili) basi tunakutana kati kati ananibana miguu yake kiunoni kwangu mwishowe tukaacha kubembea tukaanza kupigana show ndo akawa mpenzi wangu mazima 😁😁😁
 
Mimi hata sikumbuki kama nilitongoza , ni vile tu tulikuwa tunacheza kwenye bembea tukawa tunakutana kati kati (bembea zilikuwa mbili) basi tunakutana kati kati ananibana miguu yake kiunoni kwangu mwishowe tukaacha kubembea tukaanza kupigana show ndo akawa mpenzi wangu mazima [emoji16][emoji16][emoji16]
Ebanaee..nitahakikisha najalibu hii kabla sijafa
 
Karibuni Wana jukwaa tukumbushane tukio hili ambalo ni gumu kusahaulika kwenye maisha ya mtu.
Pia kuonyesha utofauti wa aina ya utongozaji wa zamani na sasa [emoji23][emoji23]
Dhumuni la uzi huu ni kufurahi pamoja na kuondoa mawazo yasiyo msingi. Karibuni Sana[emoji120]
Nakumbuka nikiwa standard six kuna kamkaka sijui nikaite katoto maana wote tulikua na miaka 11, yaan alikua kila nikimuangalia ananikonyeza bas mimi nikawa sipendi yan.

Siku akajiloga akaniandikia barua ya kunitongoza yaan nliipeleka moja kwa moja kwa mama angu huku nalia kilio kama kuna msiba[emoji1][emoji1].. naulizwa shida nini apo siwez hata kuongea, nkaelezea hadi ya kukonyezwa darasani.. basi mama angu akaniambia twende tumfuate kwao maana alikua ni jirani tu..

Aisee yule mtoto alipigwa na kaka ake hatari, na ndio ilikua mara yake ya mwisho kunisemesha... Ht nikikutana nae leo hii huwa hawez hata kunisalimia, mimi nikimuona huwa natamani kucheka[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960] yani huwezi jua ndio mume wako ujue ila na yeye kweli hajiamini ananuna nini na kichapo ashachezea
 
Nakumbuka nikiwa standard six kuna kamkaka sijui nikaite katoto maana wote tulikua na miaka 11, yaan alikua kila nikimuangalia ananikonyeza bas mimi nikawa sipendi yan.

Siku akajiloga akaniandikia barua ya kunitongoza yaan nliipeleka moja kwa moja kwa mama angu huku nalia kilio kama kuna msiba[emoji1][emoji1].. naulizwa shida nini apo siwez hata kuongea, nkaelezea hadi ya kukonyezwa darasani.. basi mama angu akaniambia twende tumfuate kwao maana alikua ni jirani tu..

Aisee yule mtoto alipigwa na kaka ake hatari, na ndio ilikua mara yake ya mwisho kunisemesha... Ht nikikutana nae leo hii huwa hawez hata kunisalimia, mimi nikimuona huwa natamani kucheka[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kama unasoma chuo Moshi we dada nakufahamu
 
Back
Top Bottom