Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
tuambiE kwanza kwako ilikuwaje?Ondoeni hofu ..funguka yaliyo kukuta sio dhambi
Nakumbuka kitambo..tuambiE kwanza kwako ilikuwaje?
Akapata mwanaume mrefu mweupe ukapigwa chini [emoji23]mapenzi ya ladha yake nilijihisi mfalme wa dunia haswa bwana bwana baada ya muda .........[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
na matusi juu kiongoziπππzile vionjo vya spaner nisipokuwa na wwe nitakufa maisha pumbavu sana josephn ata kama upo apaπππAkapata mwanaume mrefu mweupe ukapigwa chini [emoji23]
Ebanaee..nitahakikisha najalibu hii kabla sijafaMimi hata sikumbuki kama nilitongoza , ni vile tu tulikuwa tunacheza kwenye bembea tukawa tunakutana kati kati (bembea zilikuwa mbili) basi tunakutana kati kati ananibana miguu yake kiunoni kwangu mwishowe tukaacha kubembea tukaanza kupigana show ndo akawa mpenzi wangu mazima [emoji16][emoji16][emoji16]
Povu kidogo ruksa...na matusi juu kiongozi[emoji3][emoji3][emoji3]zile vionjo vya spaner nisipokuwa na wwe nitakufa maisha pumbavu sana josephn ata kama upo apa[emoji16][emoji16][emoji16]
na matusi juu kiongozi[emoji3][emoji3][emoji3]zile vionjo vya spaner nisipokuwa na wwe nitakufa maisha pumbavu sana josephn ata kama upo apa[emoji16][emoji16][emoji16]
Akapata mwanaume mrefu mweupe ukapigwa chini [emoji23]
πππ kila mtu na bahati yake broo..... hii ilitokea umri flani wa kubalehe ila ukubwan cdhan kama utaweza labda jaribu njia nyingineEbanaee..nitahakikisha najalibu hii kabla sijafa
Nakumbuka nikiwa standard six kuna kamkaka sijui nikaite katoto maana wote tulikua na miaka 11, yaan alikua kila nikimuangalia ananikonyeza bas mimi nikawa sipendi yan.Karibuni Wana jukwaa tukumbushane tukio hili ambalo ni gumu kusahaulika kwenye maisha ya mtu.
Pia kuonyesha utofauti wa aina ya utongozaji wa zamani na sasa [emoji23][emoji23]
Dhumuni la uzi huu ni kufurahi pamoja na kuondoa mawazo yasiyo msingi. Karibuni Sana[emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960] yani huwezi jua ndio mume wako ujue ila na yeye kweli hajiamini ananuna nini na kichapo ashachezeaNakumbuka nikiwa standard six kuna kamkaka sijui nikaite katoto maana wote tulikua na miaka 11, yaan alikua kila nikimuangalia ananikonyeza bas mimi nikawa sipendi yan.
Siku akajiloga akaniandikia barua ya kunitongoza yaan nliipeleka moja kwa moja kwa mama angu huku nalia kilio kama kuna msiba[emoji1][emoji1].. naulizwa shida nini apo siwez hata kuongea, nkaelezea hadi ya kukonyezwa darasani.. basi mama angu akaniambia twende tumfuate kwao maana alikua ni jirani tu..
Aisee yule mtoto alipigwa na kaka ake hatari, na ndio ilikua mara yake ya mwisho kunisemesha... Ht nikikutana nae leo hii huwa hawez hata kunisalimia, mimi nikimuona huwa natamani kucheka[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kama unasoma chuo Moshi we dada nakufahamuNakumbuka nikiwa standard six kuna kamkaka sijui nikaite katoto maana wote tulikua na miaka 11, yaan alikua kila nikimuangalia ananikonyeza bas mimi nikawa sipendi yan.
Siku akajiloga akaniandikia barua ya kunitongoza yaan nliipeleka moja kwa moja kwa mama angu huku nalia kilio kama kuna msiba[emoji1][emoji1].. naulizwa shida nini apo siwez hata kuongea, nkaelezea hadi ya kukonyezwa darasani.. basi mama angu akaniambia twende tumfuate kwao maana alikua ni jirani tu..
Aisee yule mtoto alipigwa na kaka ake hatari, na ndio ilikua mara yake ya mwisho kunisemesha... Ht nikikutana nae leo hii huwa hawez hata kunisalimia, mimi nikimuona huwa natamani kucheka[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yan mambo ya mwaka 2007 uko anayabeba mpaka leo hii[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960] yani huwezi jua ndio mume wako ujue ila na yeye kweli hajiamini ananuna nini na kichapo ashachezea