Je, siku ya kwanza kutongoza/kutongozwa ilikuwaje?

wakati huo ukipigwa chini unajiona kama umefanya jinai
 
wakati huo ukipigwa chini unajiona kama umefanya jinai
Kuna ile sijui kama wengine imewatokea, enzi hizo unakuta kuna demu unampenda hata kumtongoza hujawahi, ila ukimuona anatoka na mtu mwingine unaona demu amekusaliti. Unaumia kabisa unawambia mpaka rafiki zako wa karibu kua shemeji yenu kanisaliti [emoji23][emoji23][emoji23] basi kama nao ni madomo zege kama wewe mnaishia tu kula hip hop kujifariji kua nyie ni wagumu hamna time na mademu, kumbe ni sizitaki mbichi hizi.
 
[emoji28][emoji28]ilikuwa raha Sana unaringaa ukiandikiwa barua ukishasoma unaitunza ukumbusho .
Mkuu wa saivi hata kukonyeza hawajui.
Sasa hio barua si hadi iwe imetoka kwa mtu unayempenda?,, naona kama barua nyingi sana enzi hizo zimeleta majanga kwa sababu zilikua zinatumika kama clear evidence kabisa.
 
Mzee iliwahi nitokea kabisa pisi ya kuitwa clementina sita sahau story zikavuma najitapa ni pisi yangu na sijawahi mtongoza kabisa aisee akaja na wenzake muda wa break saa 4 niko na Wana tunakula mihogo kwa mchaga wakatuzunguka wakaanza kuniponda [emoji23][emoji23]wakuu nilikimbia break ya kwanza police barraks tangu siku iyo nikaacha kula kabisa break time mpaka na maliza shule aibu wazee.
 
Sasa hio barua si hadi iwe imetoka kwa mtu unayempenda?,, naona kama barua nyingi sana enzi hizo zimeleta majanga kwa sababu zilikua zinatumika kama clear evidence kabisa.
mkuu acha tu vibarua vinaleta mambozi huna pakukatalia Yani .
Kama unampenda pia lazima uitunze maana kabla hujampa jibu tayri unajuwa nimkubali au nimkatae.
 
Sasa hio barua si hadi iwe imetoka kwa mtu unayempenda?,, naona kama barua nyingi sana enzi hizo zimeleta majanga kwa sababu zilikua zinatumika kama clear evidence kabisa.
barua yenyewe hupeleki mwenyewe kuna wale wana wakuangalia kama kweli umejaza page na umechora makopa vizur
 
barua yenyewe hupeleki mwenyewe kuna wale wana wakuangalia kama kweli umejaza page na umechora makopa vizur
[emoji3] Umenikumbusha kuna mwanangu mmoja yeye alikua na mwandiko mbaya sometime yeye mwenyewe anashindwa kusoma alichokiandika, naye domo lilikua lina gundi hivyo alikua anatumia sana barua... Akitaka tu kunandika barua anaandaa coin (mia 2 hivi) anaandikiwa na jamaa fulan hv alikua na mwandiko mzjri sana.. [emoji3][emoji3] bahati mbaya sana demu mwenyewe akawa hamuelewi.
 
Hio noma sana mkuu, huyo demu vipi, mbali na kusoma shule moja vp mlikua darasa 1 au
 
mkuu acha tu vibarua vinaleta mambozi huna pakukatalia Yani .
Kama unampenda pia lazima uitunze maana kabla hujampa jibu tayri unajuwa nimkubali au nimkatae.
Yani pamoja na udomo zege wangu enzi hizo barua nilikua naziogopa sana maana ilikua kama ku bet, ikienda halafu ikute mwanamke akutaki basi jiandae kuchezea fimbo shuleni .. Mpaka home + ushauri wa wazazi na walimu [emoji28].

Naomba kukuuliza personal question.

Katika kupokea pokea barua, kama kulikuwepo vipi ulipokea barua ya mwanaume yoyote ambaye humpendi na kama ndio ulifanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…