Je, siku ya kwanza kutongoza/kutongozwa ilikuwaje?

Dogo alinielewa mkuu, hadi naondoka shule yeye namuacha sikua nimekamilisha mission. Nikiwa kitaa nimemkatia tamaa kabisa yeye alinitafuta tukaanza mahusiano lakini mimi nikasafiri mpaka tokeo linatoka nikaenda shule za mbali, kifupi sikula tunda. Ila mpaka leo ni mwashkaji wakubwa tu, mara moja moja ananitaniaga eti wanaume wote wangekua kama wewe wangeiona pepo.

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu unataka malaika washuke mbinguni na kukwambia umuoe?
 
Nilikua nashindwa kumwambia mtoto kua nampenda hata kutumia lugha indirect kua namuelewa nilishindwa..
Nikawa naongea vitu hata havieleweki tena kigugumizi kingi (wakati sina kigugumizi)
Huyo mtoto nae alihisi kua nampenda, hadi anakuja aliamini kua namtongoza lakini alivyofika akaona vitu tofauti, kwa hiyo akawa ananiambia maneno ya kunileta moja kwa moja kwenye lengo husika

Kila nikiongea utumbo ananileta kwenye maada ananiambia "Eeenh niambie" mzee mzima nashindwa kufunguka naishia kujiuma uma lakini mtoto ananiambia tena "Mmmh niambie nakusikiliza" huku ananiangilia usoni.

Aiseh nilikua fala hadi siku moja demu mwenyewe akaniambia yani wewe (Jina langu) kusoma huwezi hata kuona picha hujui.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama kungekua na tuzo za madomo zege I'm sure kipindi kile ningezichukua zote.
Kama kungekua na tuzo za madomo zege I'm sure kipindi kile ningezichukua, nimecheka sana aisee.....vipi lakini mwisho wa siku ulifaulu mchezo?
 
Hapana mkuu, sikufanikisha, tumekuja kuanza mahusiano ndio kitabu kikaanza kututenganisha. Pili bro wake alijua, nilikua nimezoea ku chat na mtoto, kumbe bro wake siku moja kaotea simu, mimi mkatoliki, dogo muislam tena ngozi ya kiarabu flani hv, kwenye chats dogo mapenzi yamempumbaza akaniambia yupo radhi kubadili dini ili tuoane. Ndio hapo kaka yake alipotibuka akaniambia we boya kaa mbali na mdogo wangu, nitakuua bwege wee.
Sasa hivi ni tupo kama marafiki tu ila zile hisia zote zishapotea sio kama zamani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu unataka malaika washuke mbinguni na kukwambia umuoe?
Mazingira yalikua magumu sana, ingekua mimi muislam kidogo ingesaidia lakini tulikua dini tofauti pia hata jamii tofauti mimi mwafrika yeye ngozi nyeupe (chotara wa mwarabu) na kwao jiwe lipo la kutosha.
 
Hapana mkuu, sikufanikisha, tumekuja kuanza mahusiano ndio kitabu kikaanza kututenganisha. Pili bro wake alijua, nilikua nimezoea ku chat na mtoto, kumbe bro wake siku moja kaotea simu, mimi mkatoliki, dogo muislam tena ngozi ya kiarabu flani hv, kwenye chats dogo mapenzi yamempumbaza akaniambia yupo radhi kubadili dini ili tuoane. Ndio hapo kaka yake alipotibuka akaniambia we boya kaa mbali na mdogo wangu, nitakuua bwege wee.
Sasa hivi ni tupo kama marafiki tu ila zile hisia zote zishapotea sio kama zamani.
😅😅😅😅jamani .
 
Duh! nakumbuka niliandika barua nikaitupa juu ya unga alioanika kwenye mkeka nikijua atakuja kuanua yeye.

Kilichotokea akaja dada ake ile kuikuta kanitafuta full vitisho kuwa anaenda kusema kwa mzee wao mwanajeshi na kumwonyesha barua, mnyamwezi full kulia misamaha kama yote, wiki msosi haupandi maskani naonekana kijana naumwa.

Mwisho wa siku dada mtu anakuja na option niwe na yeye kama sitaki anafikisha kesi kwa mzee wake na home kwetu, nani anataka kutembezewa mikwaju na mjeda ikabidi nikubali kishingo upande....
 
Mwamba na wewe ulituzidi mbinu
Ikaendeleaje mkuu?
 
aisee[emoji23][emoji23] hii kiboko....
 
Mwamba na wewe ulituzidi mbinu
Ikaendeleaje mkuu?
Mbinu nilizipata kutoka kwa makaka zangu pindi iyo wanaandika mistari kwenye madaftari, nikawa nimefumania moja ya ayo madaftari yao kwaiyo hata kuandika iyo barua ilikuwa ni sehemu ya mazoezi ya niliyosoma,

Baada ya hapo kuna mengi sana yalitokea, moja wapo alikuja kunambia alipenda sana namna nilivyoandika ile barua, mengine sintosema.
Ila baada ya yeye kumaliza darasa la saba akawa amesepa mimi ile kauli ya kuambiwa amependa nilichoandika ilinipa ujasiri kinyama, iyo ilipelekea kidogo nifukuzwe shule darasa la saba maana kesi zilikuwa nyingi za wadada kugombana kisa mimi, barua nilikuwa nagawa kama njugu mixer mimi ndiyo mwandikaji wa barua za wana
 
mkuu nitakileta tu[emoji846] maana ni vituko[emoji28][emoji28].
Ila chako kimenifurahisha Sana.
Tuna wait[emoji16]

,,sema zile fun moment watoto wa siku hizi hawajazipitia, utandawazi umeharibu vibe na excitement la hizi mambo..
Siku hizi hata mwanamke akikukubali imekua ni kitu cha kawaida wakati enzi hizo ilikua balaa,
 
Mbinu nilizipata kutoka kwa makaka zangu pindi iyo wanaandika mistari kwenye madaftari, nikawa nimefumania moja ya ayo madaftari yao kwaiyo hata kuandika iyo barua ilikuwa ni sehemu ya mazoezi ya niliyosoma,

Baada ya hapo kuna mengi sana yalitokea, moja wapo alikuja kunambia alipenda sana namna nilivyoandika ile barua, mengine sintosema.
Ila baada ya yeye kumaliza darasa la saba akawa amesepa mimi ile kauli ya kuambiwa amependa nilichoandika ilinipa ujasiri kinyama, iyo ilipelekea kidogo nifukuzwe shule darasa la saba maana kesi zilikuwa nyingi za wadada kugombana kisa mimi, barua nilikuwa nagawa kama njugu mixer mimi ndiyo mwandikaji wa barua za wana
Ulikuwa vimemo lord
 
Tuna wait[emoji16]

,,sema zile fun moment watoto wa siku hizi hawajazipitia, utandawazi umeharibu vibe na excitement la hizi mambo..
Siku hizi hata mwanamke akikukubali imekua ni kitu cha kawaida wakati enzi hizo ilikua balaa,
😅😅ilikuwa raha Sana unaringaa ukiandikiwa barua ukishasoma unaitunza ukumbusho .
Mkuu wa saivi hata kukonyeza hawajui.
 
Back
Top Bottom