Hapana mkuu, sikufanikisha, tumekuja kuanza mahusiano ndio kitabu kikaanza kututenganisha. Pili bro wake alijua, nilikua nimezoea ku chat na mtoto, kumbe bro wake siku moja kaotea simu, mimi mkatoliki, dogo muislam tena ngozi ya kiarabu flani hv, kwenye chats dogo mapenzi yamempumbaza akaniambia yupo radhi kubadili dini ili tuoane. Ndio hapo kaka yake alipotibuka akaniambia we boya kaa mbali na mdogo wangu, nitakuua bwege wee.
Sasa hivi ni tupo kama marafiki tu ila zile hisia zote zishapotea sio kama zamani.