Je Simba itafanikiwa kuwa top 5 katika ubora msimu huu ranking ya CAF?

sasa imagine tuanawatoa hao tunatinga fainali na fainali tunacheza na pyramids hapo unadhani nani atakuwa bingwa na wewe hiyo nafasi ya 3 unaipataje kama yanga bingwa champions ligi
 
sasa imagine tuanawatoa hao tunatinga fainali na fainali tunacheza na pyramids hapo unadhani nani atakuwa bingwa na wewe hiyo nafasi ya 3 unaipataje kama yanga bingwa champions ligi
Eti Yanga vs Pyramids, hahahah, embu kwanza ncheke!

Mada inaongelea Simba kuwa top 5 kama kichwa cha Uzi kinavyosema. Hizo scenario mbili za kuwa top 2 au 3 nimeweka kama nyongeza ila mada ni uwezekano wa kuwa top 5.
 
Nipo hapa nampigia Motsepe awapange Yanga katika kundi moja na Esperance au Mamelodi, wampunguze mmoja halafu na yeye robo fainali atupiliwe mbali arudi kucheza na Dodoma Jiji
 
Kumbuka shirikisho timu kali ziko nne tu na Simba ndio miongoni mwao,hivyo group lake atapangwa na vibonde
Shirikisho nako kugumu, usipachukulie poa. Kuna Zamalek, USMA, Berkane, ASEC, Al Masry, CS Sfaxien, Stellenbosch. Na hapo kuna uwezekano hata wengine ambazo sijawataja wana vikosi vizuri vinavyoweza kusumbua hata kama hawana majina makubwa au uzoefu.
 
Eti Yanga vs Pyramids, hahahah, embu kwanza ncheke!

Mada inaongelea Simba kuwa top 5 kama kichwa cha Uzi kinavyosema. Hizo scenario mbili za kuwa top 2 au 3 nimeweka kama nyongeza ila mada ni uwezekano wa kuwa top 5.
Babu uwezekano huo utoke wapi kwa timu yako iyo ya ungunga mwana, na siku si nyingi utazidi kurudishwa nyuma na yanga anaenda kukaa juu yenu maana kwa yanga kuingia Tena robo fainali msimu huu sio ajenda Tena lakini wewe timu yako iyo auna mategemeo ya kufanya ivyo quality inawahukumu na performance inawahukumu pia!
 
Mtaendelea kulialia sana mwaka huu hadi machozi yakauke. Kwenye NBC Simba imecheza mechi 2, zote clean sheet na ndiyo timu inaongoza kwa GD pamoja na kucheza mechi 2 tu wakati wengine wamecheza hadi mechi 5. CAF imecheza mechi mbili tena ngumu na zenye ushindani, clean sheet moja, nyingine imeshinda kwa goli 3. Endeleeni kufumba macho.

"siku si nyingi utazidi kurudishwa nyuma na yanga anaenda kukaa juu yenu"
Kumbe hili chaka bado lipo, si mlituhakikishia weekend iliyopita mlikuwa mnalifyeka?
 
Shirikisho nako kugumu, usipachukulie poa. Kuna Zamalek, USMA, Berkane, ASEC, Al Masry, CS Sfaxien, Stellenbosch. Na hapo kuna uwezekano hata wengine ambazo sijawataja wana vikosi vizuri vinavyoweza kusumbua hata kama hawana majina makubwa au uzoefu.
Simba hawezi kupangwa na Zamalek wala Balkane group moja,so hapo robo fainali uhakika
 
Simba hawezi kupangwa na Zamalek wala Balkane group moja,so hapo robo fainali uhakika
Nakubaliana na wewe. Nimezitaja tu ili tusione kuwa safari itakuwa ya mserereko kama hawa wazee wa Vital'O, CBE, Monastir, Marumo na Rivers.
 
Hili povu si la kawaida, mtu huyu alindwe asije akachukua uamuzi mbaya!
 
Nakubaliana na wewe. Nimezitaja tu ili tusione kuwa safari itakuwa ya mserereko kama hawa wazee wa Vital'O, CBE, Monastir, Marumo na Rivers.
Haiwezi kuwa hivyo ila atleat kwrnye gropu lake anaweza kukuta timu ngumu ni moja tu.
Na Simba ameshakuwa mzoefu wa michuano mikubwa kutinga robo fainali ni jambo la kawaida tu
 
Haiwezi kuwa hivyo ila atleat kwrnye gropu lake anaweza kukuta timu ngumu ni moja tu.
Na Simba ameshakuwa mzoefu wa michuano mikubwa kutinga robo fainali ni jambo la kawaida tu
Mimi sijaangalia tu hatua ya makundi, nimeangalia safari nzima hadi fainali na kuchukua kombe.
 
🤣🤣🤣 Eti clean sheet za ligi kuu, ulicheza na timu Gani kwanza ebu tueleze zile timu 2 ulizozifunga zilikuwa na shida Gani zote?
Alafu tuambie hizo timu ngumu za caf ulizocheza nazo mechi 2, Au unasemea hao Ahly ahli tripoli? Ndio timu ngumu iyo uliyoona wewe? Kwa maana hizo mechi ulizocheza ndio zinakupa jeuri kwamba timu yako ni Bora? Daaah mangungu mitano Tena🤭🤭🤭
 
Umejipa maumivu ya kujitakia na utaumia saaana msimu huu na hapo bado hatuna muunganiko umeshaanza kuumia hivi, tukiongeza vyuma viwili pale mbele si itakuwa balaa? Hauoni wenzako wameamua kukaa kimyaaa, wameshajua kifuatacho ITV.
 
Si mlisema mmefyeka kichaka Zanzibar imekuaje tena mbona kauli zinabadilikabadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…