Je Simba itafanikiwa kuwa top 5 katika ubora msimu huu ranking ya CAF?

Je Simba itafanikiwa kuwa top 5 katika ubora msimu huu ranking ya CAF?

Watu wanadanganya ila namba hazidanganyi hata siku moja. Simba imefika namba 6 bila kuchukua ubingwa wa Afrika na ni miaka zaidi ya 30 toka imecheza fainali. Sasa hivi inajenga kikosi cha kusumbua kwa miaka 5 ijayo, we hauogopi?
Hamna timu mle muzeye.
 
Hii sasa ndiyo tathmini ya kisomi isiyo na mihemko siyo kama wale wengine kwenye ule uzi, wanaota vitu visivyo na uhalisia.
 
Back
Top Bottom