Je Simba itafanikiwa kuwa top 5 katika ubora msimu huu ranking ya CAF?

Kauli imebadili kutoka kufika makundi sasa imekua robo
Wanabadilikabadilika hadi kinyonga anawaonea wivu. Sasa hivi hawaongelei tena kufyeka kichaka, wanatuuliza kwani tuna point ngapi, hahahah
 
Wanabadilikabadilika hadi kinyonga anawaonea wivu. Sasa hivi hawaongelei tena kufyeka kichaka, wanatuuliza kwani tuna point ngapi, hahahah
Sasa kama ulikuwa na point 39, sasa hivi unazo 30.5 mwenzako anazo 29, hapo bado unapata ujasiri wa kuongea, kichaka unaona kitaendelea akuwepo?
 
Chezeni mpira punguzeni tararira aka hesabu feki. Mkifika fainali ndo tutaongea.
 
Sasa kama ulikuwa na point 39, sasa hivi unazo 30.5 mwenzako anazo 29, hapo bado unapata ujasiri wa kuongea, kichaka unaona kitaendelea akuwepo?
Mara haujui point, mara unataja point, tukuelewe vipi sasa?
 
Chezeni mpira punguzeni tararira aka hesabu feki. Mkifika fainali ndo tutaongea.
Watu wanadanganya ila namba hazidanganyi hata siku moja. Simba imefika namba 6 bila kuchukua ubingwa wa Afrika na ni miaka zaidi ya 30 toka imecheza fainali. Sasa hivi inajenga kikosi cha kusumbua kwa miaka 5 ijayo, we hauogopi?
 
Simba haishiriki kwa ajili ya nafasi. Hizo nafasi zinakuja zenyewe tu baada ya kufanya vizuri
Na kufanya vizuri ni mpaka uwe na timu Bora sio Bora timu ndio nafasi zitakuja na sio kwa kupiga ramli au kwa bahati nasibu!
 
Na kufanya vizuri ni mpaka uwe na timu Bora sio Bora timu ndio nafasi zitakuja na sio kwa kupiga ramli au kwa bahati nasibu!
Wakati kwa miaka 3 sasa mnasema Simba ni mbovu ilisogea hadi nafasi ya 6 katika kipindi hicho hicho, sasa hatujui hiko kigezo cha ubora ni kipi kingine.
 
Na kufanya vizuri ni mpaka uwe na timu Bora sio Bora timu ndio nafasi zitakuja na sio kwa kupiga ramli au kwa bahati nasibu!
Inatgemeana na mpinzani. Kuna timu ya Tanzania imeshinda 6-0. Esperance ya Tunisia imeshinda 8-0. Zote hizi zimekutana na timu za Ethiopia na Somalia. Lakini Petro Atletico ya Angola AS Vita ya DRC na Al Ahly Tripoli ya Libya zimeondolewa kwa kuwa zilikutana na wapinzani wengine wakali.
 
🤣🤣Mpinzani mkali ndio uyo wa Libya tuliyemuona au Kuna Libya nyingine?
 
🤣🤣Mpinzani mkali ndio uyo wa Libya tuliyemuona au Kuna Libya nyingine?
Ndio huyu ambaye usajili wa mchezaji wake mmoja ni bajeti ya usajili wa wachezaji wote wa Yanga akiwemo Kagoma
 
Ni mwendo wa roho mbaya tu
 
Kumbuka shirikisho timu kali ziko nne tu na Simba ndio miongoni mwao,hivyo group lake atapangwa na vibonde
Kuna timu moja ina jina gumu kutoka South Africa.. aisee mziki wake sio wa kawaida
 
Nakubaliana na wewe. Nimezitaja tu ili tusione kuwa safari itakuwa ya mserereko kama hawa wazee wa Vital'O, CBE, Monastir, Marumo na Rivers.
Monastri mtue hapo kama kweli unaongelea mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…