Je, Simba tunajifunza Nini upinzani huu wa Yanga na Azam?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Hapa miaka ya karibuni kumeibuka upinzani mkubwa wa kisoka kati ya Azam na Yanga kiasi Kwamba derby ya watani imekuwa Haina mvuto kisa Simba kuonekana underdog but currently mzizima derby (Yanga na Azam) ndio hatari zaid

Je Simba tunajifunza Nini
a) sisi Simba ni level ya Al ahly.....japo tumeangukia looser cup [emoji23][emoji23]

b) Tuendelee kujitafuta ,.....tutajipata miaka ya mbele...Kwan tumeshinda robo final nyingi [emoji23][emoji23]

C) Hatumtaki mangungu [emoji23][emoji23]

d) Yote sawaaaa,[emoji23][emoji23]

 
Hakuna derby itafuta umaarufu wa simba na Yanga milele, Hakuna siku Azam itafikisha idadi ya mashabiki wa Simba au Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…