Viongozi waongo na wanafiki, walimleta mchezaji wakati wa uchaguzi, afu msimu wa usajiri jamaa akatimkia China.Mbona Viongozi wanaoleta wachezaji wabovu na kununua wachezaji wazee(wa kustafia Simba) hatuoni wakisimamishwa au kujadiliwa janja janja Yao.?Simba inajiita timu kubwa ila viongozi hadi Leo wameshindwa hata kusimamia na kuhimiza mashabiki kuchangia hata uwanja wa timu siyo wa mazoezi.Simba anzeni na Viongozi ndiyo mje Kwa wachezaji mkitaka kuifanya Simba imara.
Kakukaririsha nani? Kila jambo na wakati wake! Walikuwepo watu pale na wameshapita either Kwa kuhama au kuzeeka. Kwa iyo ata yeye atapita na maisha yataendelea kama kawaida tuSimba bila Chama haiwezekani
Kumbuka hata Mkude na Okra wamekuja Yanga πππLabda Yanga Queens.Hela ya kuvunja mkataba hamna,ikiwezekana akae na babu Matola pale wapange koni.
Kwa hiyo kwa akili zako chama anakuja Yanga. Kucheza namba ya nani...... nyie komaeni nae mumpe hela yake ya miaka miwili mliyo msainisha la sivyo atazidi kuwasumbua. Ila haendi sehemu yoyote wa kwenu huyo.Kumbuka hata Mkude na Okra wamekuja Yanga πππ
Mkasajiri Mkude, ndo ishindikane Chama? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda Yanga Queens.Hela ya kuvunja mkataba hamna,ikiwezekana akae na babu Matola pale wapange koni.
Mnatulazimisha sasa,nyie vipi bakini na shipa lenu. Chama haondoki hapo bila hela yake ya miaka miwili. Mlishoboka wenyewe kipindi cha usajili kumpa miaka miwili.Mkasajiri Mkude, ndo ishindikane Chama? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa unachekesha sana na mihemko yakoo.
Bas mie huwa nachekaaaa had hoi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hulazimishwii wee, wenye team ndo wanamtakaa.Mnatulazimisha sasa,nyie vipi bakini na shipa lenu. Chama haondoki hapo bila hela yake ya miaka miwili. Mlishoboka wenyewe kipindi cha usajili kumpa miaka miwili.
Wenyewe si ndio sisi? Nani ana mihemko.......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hulazimishwii wee, wenye team ndo wanamtakaa.
Na ndo wanasajiri, km mkude, okrah na huna cha kufanyaaa.
Mihemko yako tyuuh mie hoiii, mbavu cna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiih!!! Bas ishi humo.Wenyewe si ndio sisi? Nani ana mihemko.......
Endelea kuishi humo ww na ndio maana yupo kwenu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiih!!! Bas ishi humo.
Vipi Chama mnawachia leo.Kumbuka hata Mkude na Okra wamekuja Yanga πππ
Vp msimamo umebadilika au bado upo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hulazimishwii wee, wenye team ndo wanamtakaa.
Na ndo wanasajiri, km mkude, okrah na huna cha kufanyaaa.
Mihemko yako tyuuh mie hoiii, mbavu cna.
....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiih!!! Bas ishi humo.
Huyo chama kila msimu mnasajiri, ila anachezea simba.Endelea kuishi humo ww na ndio maana yupo kwenu.
Km mna mtaka mchukueni, si make nae mezani mzungumze naeVp msimamo umebadilika au bado upo...
Unajikaza ukimtoa Chama mechi ya leo ni droo.Km mna mtaka mchukueni, si make nae mezani mzungumze nae
Hatumzuii mchezaji kwenda anakotakaa, afu mbona una chuki na chama kakukosea nn kaka wa watu?
Kwemaaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan mnataka Chama? Hebu jibu kwani.Unajikaza ukimtoa Chama mechi ya leo ni droo.