cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Viongozi waongo na wanafiki, walimleta mchezaji wakati wa uchaguzi, afu msimu wa usajiri jamaa akatimkia China.Mbona Viongozi wanaoleta wachezaji wabovu na kununua wachezaji wazee(wa kustafia Simba) hatuoni wakisimamishwa au kujadiliwa janja janja Yao.?Simba inajiita timu kubwa ila viongozi hadi Leo wameshindwa hata kusimamia na kuhimiza mashabiki kuchangia hata uwanja wa timu siyo wa mazoezi.Simba anzeni na Viongozi ndiyo mje Kwa wachezaji mkitaka kuifanya Simba imara.
Uongozi wa simba ufurushweee.