Je, Simba wataachana na Clatous Chama?

Je, Simba wataachana na Clatous Chama?

Mbona Viongozi wanaoleta wachezaji wabovu na kununua wachezaji wazee(wa kustafia Simba) hatuoni wakisimamishwa au kujadiliwa janja janja Yao.?Simba inajiita timu kubwa ila viongozi hadi Leo wameshindwa hata kusimamia na kuhimiza mashabiki kuchangia hata uwanja wa timu siyo wa mazoezi.Simba anzeni na Viongozi ndiyo mje Kwa wachezaji mkitaka kuifanya Simba imara.
Viongozi waongo na wanafiki, walimleta mchezaji wakati wa uchaguzi, afu msimu wa usajiri jamaa akatimkia China.

Uongozi wa simba ufurushweee.
 
Simba bila Chama haiwezekani
Kakukaririsha nani? Kila jambo na wakati wake! Walikuwepo watu pale na wameshapita either Kwa kuhama au kuzeeka. Kwa iyo ata yeye atapita na maisha yataendelea kama kawaida tu
 
Kumbuka hata Mkude na Okra wamekuja Yanga 😁😁😁
Kwa hiyo kwa akili zako chama anakuja Yanga. Kucheza namba ya nani...... nyie komaeni nae mumpe hela yake ya miaka miwili mliyo msainisha la sivyo atazidi kuwasumbua. Ila haendi sehemu yoyote wa kwenu huyo.
 
Labda Yanga Queens.Hela ya kuvunja mkataba hamna,ikiwezekana akae na babu Matola pale wapange koni.
Mkasajiri Mkude, ndo ishindikane Chama? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa unachekesha sana na mihemko yakoo.
Bas mie huwa nachekaaaa had hoi.
 
Mkasajiri Mkude, ndo ishindikane Chama? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa unachekesha sana na mihemko yakoo.
Bas mie huwa nachekaaaa had hoi.
Mnatulazimisha sasa,nyie vipi bakini na shipa lenu. Chama haondoki hapo bila hela yake ya miaka miwili. Mlishoboka wenyewe kipindi cha usajili kumpa miaka miwili.
 
Mnatulazimisha sasa,nyie vipi bakini na shipa lenu. Chama haondoki hapo bila hela yake ya miaka miwili. Mlishoboka wenyewe kipindi cha usajili kumpa miaka miwili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hulazimishwii wee, wenye team ndo wanamtakaa.
Na ndo wanasajiri, km mkude, okrah na huna cha kufanyaaa.

Mihemko yako tyuuh mie hoiii, mbavu cna.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hulazimishwii wee, wenye team ndo wanamtakaa.
Na ndo wanasajiri, km mkude, okrah na huna cha kufanyaaa.

Mihemko yako tyuuh mie hoiii, mbavu cna.
Wenyewe si ndio sisi? Nani ana mihemko.......
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hulazimishwii wee, wenye team ndo wanamtakaa.
Na ndo wanasajiri, km mkude, okrah na huna cha kufanyaaa.

Mihemko yako tyuuh mie hoiii, mbavu cna.
Vp msimamo umebadilika au bado upo...
 
Vp msimamo umebadilika au bado upo...
Km mna mtaka mchukueni, si make nae mezani mzungumze nae
Hatumzuii mchezaji kwenda anakotakaa, afu mbona una chuki na chama kakukosea nn kaka wa watu?

Kwemaaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajikaza ukimtoa Chama mechi ya leo ni droo.
 
Yanga Mpumzisheni Chama.
Wala hana habari ya mlinganisho wenu kwa kila mchezaji wenu.
 
Back
Top Bottom