Je, Simoni Mkirene aliebeba msalaba wa Yesu kuna kosa alitenda ndio akaamrishwa abebe au alibeba kwa kupenda?

Yuda Legacy

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2023
Posts
778
Reaction score
2,764
Bwana Yesu asifiwe kwa wajuzi na wasomi wa Mambo ya Rohoni kama kichwa cha habari kinavyo uliza.

Je kosa la simoni mkirene (Simone of cyrene) ni lipi haswa au alibeba msalaba ule kwa kupenda tu kumsaidia Yesu kristo.?

Maana huwa tunaambiwa alimsaidia je alimsaidia au aliamriwa

 
Alishurutishwa na askari wa Kirumi.
Huyo mwamba alikuwa ni toka Libya, sehemu ya Kurene
 
Na hakubarikiwa kwa kazi aliyofanya, ila yule malaya aliyemfuta Yesu miguu alisemehewa dhambi.

Ubaguzi tu
Nan kakuambia hakubarikiwa au ulitaka ampe na tuzo apige na picha?
 
Hakutenda kosa,Alikua Mtu Mweusi,Askari walipomuona kwa sababu ya Rangi yake ya ngozi kua black wakamuamrisha abebe msalaba amsaidie Mweusi Mwenzake ambae ni Yesu kristo

Kwa hio aliamriwa kwa kua alifanana nae rangi ya ngozi yake

Yesu kristo alikua ni Mweusi,hii imefichwa muda mrefu, Rais Putin kuna nyaraka aliziweka wazi ya michoro ya Yesu inayothibitisha kua alikua Mweusi

Israel mpk leo black Wapo wengi tu na wengine wapo mpk jeshini

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…