Je, Simoni Mkirene aliebeba msalaba wa Yesu kuna kosa alitenda ndio akaamrishwa abebe au alibeba kwa kupenda?

Je, Simoni Mkirene aliebeba msalaba wa Yesu kuna kosa alitenda ndio akaamrishwa abebe au alibeba kwa kupenda?

Hakutenda kosa,Alikua Mtu Mweusi,Askari walipomuona kwa sababu ya Rangi yake ya ngozi kua black wakamuamrisha abebe msalaba amsaidie Mweusi Mwenzake ambae ni Yesu kristo

Kwa hio aliamriwa kwa kua alifanana nae rangi ya ngozi yake

Yesu kristo alikua ni Mweusi,hii imefichwa muda mrefu, Rais Putin kuna nyaraka aliziweka wazi ya michoro ya Yesu inayothibitisha kua alikua Mweusi

Israel mpk leo black Wapo wengi tu na wengine wapo mpk jeshini

View attachment 3061186
Kwa hiyo putin ndio reference yako?
 
Kwa hiyo putin ndio reference yako?
Sasa Putin na wewe nani anajua?

Mwenzako ana system inayompa taarifa nyeti kwa kina sio wewe kajamba nani

Mojawapo ya reference,kaonesha ushahidi wa kale uliofichwa

Kwani reference hua zinatungwa na mapepo au binadamu?
Tumia akili

Au neno reference limetoka hewani tu au ndio umelivumbua wewe leo?kua ni kitu kigumu sana wengine hawana uwezo wa kuonesha reference ni wewe tu?
 
Na hakubarikiwa kwa kazi aliyofanya, ila yule malaya aliyemfuta Yesu miguu alisemehewa dhambi.

Ubaguzi tu
kwa hali ile angepata wapi nguvu za kymbariki? ila hata lissu hajawahi mshukuru alitetoa ndege yake impeleke nairobi
 
Back
Top Bottom