poposindege JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 453 Reaction score 175 Jun 19, 2023 #1 Kama kicha cha habari kinavyouliza je inawezekana? Kwa bahati mbaya simu yangu katika kubonyeza bonyeza nikafanya Factory Reset na ndani kuna vitu muhimu sana na sikuwahi kufanya Backup ya chochote. Kwa mwenye uelewa wowote anisaidie tafadhali
Kama kicha cha habari kinavyouliza je inawezekana? Kwa bahati mbaya simu yangu katika kubonyeza bonyeza nikafanya Factory Reset na ndani kuna vitu muhimu sana na sikuwahi kufanya Backup ya chochote. Kwa mwenye uelewa wowote anisaidie tafadhali
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,128 Reaction score 21,885 Jun 19, 2023 #2 Haiwezekani labda utumie pc suite ya simu yako kufanya backup kwanza
J John Wickzer Mulholland JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 6,656 Reaction score 14,403 Jun 19, 2023 #3 poposindege said: Kama kicha cha habari kinavyouliza je inawezekana? Kwa bahati mbaya simu yangu katika kubonyeza bonyeza nikafanya Factory Reset na ndani kuna vitu muhimu sana na sikuwahi kufanya Backup ya chochote. Kwa mwenye uelewa wowote anisaidie tafadhali Click to expand... No, haiwezekani kufanya back up
poposindege said: Kama kicha cha habari kinavyouliza je inawezekana? Kwa bahati mbaya simu yangu katika kubonyeza bonyeza nikafanya Factory Reset na ndani kuna vitu muhimu sana na sikuwahi kufanya Backup ya chochote. Kwa mwenye uelewa wowote anisaidie tafadhali Click to expand... No, haiwezekani kufanya back up
poposindege JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 453 Reaction score 175 Jun 19, 2023 Thread starter #4 Duh shughuli imeisha
Mayu JF-Expert Member Joined May 11, 2010 Posts 7,621 Reaction score 12,505 Jun 19, 2023 #5 Kama hukuwahi kufanya back up popote pale basi jaribu kutafuta app za kurecovet deleted data Hata hivyo sio uhakika kama utaweza kuzipata zote
Kama hukuwahi kufanya back up popote pale basi jaribu kutafuta app za kurecovet deleted data Hata hivyo sio uhakika kama utaweza kuzipata zote
Gan star JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 379 Reaction score 982 Jun 19, 2023 #6 Haupati kitu