Je simu iliyofanya Factory reset inaweza kurudisha faili zake?

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
453
Reaction score
175
Kama kicha cha habari kinavyouliza je inawezekana?

Kwa bahati mbaya simu yangu katika kubonyeza bonyeza nikafanya Factory Reset na ndani kuna vitu muhimu sana na sikuwahi kufanya Backup ya chochote.

Kwa mwenye uelewa wowote anisaidie tafadhali
 
Haiwezekani labda utumie pc suite ya simu yako kufanya backup kwanza
 
Kama kicha cha habari kinavyouliza je inawezekana?

Kwa bahati mbaya simu yangu katika kubonyeza bonyeza nikafanya Factory Reset na ndani kuna vitu muhimu sana na sikuwahi kufanya Backup ya chochote.

Kwa mwenye uelewa wowote anisaidie tafadhali
No, haiwezekani kufanya back up
 
Kama hukuwahi kufanya back up popote pale basi jaribu kutafuta app za kurecovet deleted data
Hata hivyo sio uhakika kama utaweza kuzipata zote
 
Back
Top Bottom