Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
How?, Okay!, Bado hujajibu swali?HIYO NI OPERATING SYSTEM MZEE NI SAWA NA COMPUTER INAPOTUMIA WINDOWS UKISHAWASHA ILETE LOGO YAKE PALE
Sipati majibu ya kuridhisha mkuu,ukizingatia simu nyingi zenye mfumo huu hufa haraka na hupata moto kweli hivyo kuwapa watu wengi hasara kwa kutokujua,binafsi siamini kama simu,genuine inaweza kuja na kitu cha aina hiyoNI SALAMA NA ZINADUMU KULINGANA NA LIFESPAN YAKE
Unless iwe haijaupdatiwa muda mrefu hivyo kuwa katika hatari ya kupata malware,virus, na kudukuliwa.
Kwanini unarudiarudia uzi!
Powered by Android.
tuambie simu ipi genuine haina haya mambo?Sipati majibu ya kuridhisha mkuu,ukizingatia simu nyingi zenye mfumo huu hufa haraka na hupata moto kweli hivyo kuwapa watu wengi hasara kwa kutokujua,binafsi siamini kama simu,genuine inaweza kuja na kitu cha aina hiyo
Ulishawahi kutumia simu gani isiyo na mfumo wa android?Sipati majibu ya kuridhisha mkuu,ukizingatia simu nyingi zenye mfumo huu hufa haraka na hupata moto kweli hivyo kuwapa watu wengi hasara kwa kutokujua,binafsi siamini kama simu,genuine inaweza kuja na kitu cha aina hiyo
Hii ninayotumia muda huu ni tecno android "original haina taka hiyo ya" ""powered by android"""Ulishawahi kutumia simu gani isiyo na mfumo wa android?
Nimeelewa sasa kwa ulichokieleza!, nashukuru sana kwa hiyo Google wanabakia kuuza tu software katika simu plain?Android ni jina la aina ya mfumo huria wa uendeshaji wa simu za mikononi. Mfumo huo hutumiwa hasa katika simujanja, kama vile Google inavyomiliki Google Nexus, vilevile kampuni nyingine zinafanya vivyohivyo ikiwa ni pamoja na HTC na Samsung. Mfumo huo wa uendeshaji umepata kutumika pia katika kompyuta bapa kama vile Motorola, Xoom na Amazon Kindle Fire.[1]
Android logo 2023
Google imetoa pia Android nyingine kama vile Android TV ya televisheni, Android Auto ya magari, Android Things kwa ajili ya vifaajanja na Wear OS ya saa ya mkononi. Aina nyingine za Android hutumiwa pia kwa michezo ya kompyuta na kamera za kidijiti.
Android mwanzoni iliundwa na Android Inc. kabla ya kununuliwa na Google mwaka 2005. Matumizi rasmi ya kibiashara yalianza mnamo Septemba 2008. Toka mwaka huo Android imetoa matoleo mbalimbali. Toleo la sasa ni 9 "Pie" lililotolewa Agosti 2018. Android Q beta ilitolewa Machi 13, 2019. Programu ya msingi ya Android inaitwa Android Open Source Project (AOSP) ambayo hutolewa kwa Leseni ya Apache.
Google inasema zaidi ya simujanja milioni 1.3 zenye mfumo wa Android zinauzwa kila siku.[2] Hii imeifanya Android kuwa miongoni mwa mifumo ya uendeshaji wa simu inayotumika sana duniani.
Copy&pest
Kuwakimbia wamarekani itakua kazi nzito sana...View attachment 3392415