Je, siri gani imejificha juu ya nchi ya Tanzania hadi papa abusu ardhi ya Tanzania?

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
Wakuu.

Kuna suala linaniumiza sana Kichwa.

Mwaka 1996 Inaasemekana papa JOHN PAUL II
Alikanyaga Ardhi ya Tanzania na Kupiga MAGOTI na kuibusu?

1. Hiki kitu hakijawahi kufanya na papa yoyote JE Kuna nini Ardhi ya Tanzania?

2. Kipi kimejificha Ambacho sisi hatukijui?

3. JE Tanzania inashirikiana na VATCAN kuidhirimu CONGO?

4Nyerere Alifanya nini kwenye Ardhi ya Tanzania?

5. Upo ulikuwa msimamo wa Nyerere kuhusu dhambi na Druma zinaziendelea Congo

Hao Marais woote WANAPENDA kutawala mataifa Mengine kwanini wapite Tanzania????.

DmmFG4rXgAATbdV.jpg
 
View attachment 2566674
Ni mapenzi na heshima kwa nchi na watu hakuna cha ziada mzee , hili jambo Papa alishafanya maeneo mengine kama New Zealand
 
Tanzania ni zaidi ya israel ya wakati huu. Hii nchi ndio nchi ya Agano la Mungu.

Kwa hiyo ukiihujumu Tanzania ama watu wake umegusa moja kwa moja interest ya Muumbaji.

Tangu Dr. Livingstone hao waliokuwa nyakati hizo walishaiona. Hata watawala wa Dunia wanajua. Ni pamoja na huyo Hayati Pope John paul II
 
Wakuu.

Kuna suala linaniumiza sana Kichwa.

Mwaka 1996 Inaasemekana papa JOHN PAUL II
Alikanyaga Ardhi ya Tanzania na Kupiga MAGOTI na kuibusu?

1. Hiki kitu hakijawahi kufanya na papa yoyote JE Kuna nini Ardhi ya Tanzania?

2. Kipi kimejificha Ambacho sisi hatukijui?

3. JE Tanzania inashirikiana na VATCAN kuidhirimu CONGO?

4Nyerere Alifanya nini kwenye Ardhi ya Tanzania?

5. Upo ulikuwa msimamo wa Nyerere kuhusu dhambi na Druma zinaziendelea Congo

Hao Marais woote WANAPENDA kutawala mataifa Mengine kwanini wapite Tanzania????.

View attachment 2566674

Hapo sio kwamba alikuwa anaibusu ardhi ya Tz bali alikuwa anamsujudia Allah kumshukuru kwa kufika kwake Salama Tz, pia kumuomba ili ziara yake hapa nchini iwe na mafanikio.

Hapo katekeleza sehemu ya ibada ya dini ya haki.

Inawezekanaje mtu na akili yako uibusu ardhi ??!!--- ni wapi Yesu mwenyewe aliwahi kubusu ardhi ili tuseme kwamba Papa alifuata mfano wa Bwana Yesu??!

Yesu alikuwa marakadhaa akianguka kifudifudi (kusujudu) kumuomba Allah (Mungu), hivyo hapo Papa sio kwamba anabusu ardhi bali anasujudu tena hapo anajudia juu ya kapeti kama mswala, kwa habari zaidi soma; (Mathayo 26:39) uone jinsi Yesu alivyofanya na Papa naye ndio kamuiga.
 
Muwe mna-google walau jaman haya haya ni makisi mbalimbali huko malta,ireland,london etc
 
Attachments

  • KISS 1.jpg
    KISS 1.jpg
    9.7 KB · Views: 22
  • KISS 2.jpg
    KISS 2.jpg
    66.9 KB · Views: 21
  • KISS 3.jpg
    KISS 3.jpg
    11.6 KB · Views: 23
Wakuu.

Kuna suala linaniumiza sana Kichwa.

Mwaka 1996 Inaasemekana papa JOHN PAUL II
Alikanyaga Ardhi ya Tanzania na Kupiga MAGOTI na kuibusu?

1. Hiki kitu hakijawahi kufanya na papa yoyote JE Kuna nini Ardhi ya Tanzania?

2. Kipi kimejificha Ambacho sisi hatukijui?

3. JE Tanzania inashirikiana na VATCAN kuidhirimu CONGO?

4Nyerere Alifanya nini kwenye Ardhi ya Tanzania?

5. Upo ulikuwa msimamo wa Nyerere kuhusu dhambi na Druma zinaziendelea Congo

Hao Marais woote WANAPENDA kutawala mataifa Mengine kwanini wapite Tanzania????.

View attachment 2566674
Papa ni kila akifika nchi yoyote kwa mara ya kwanza anabusu ardhi kuibariki.
P.
 
Sio anabusu bali anasujudu akimuomba Mungu kufika kwake salama na pia kumuomba Mungu ili ziara yake katika nchi hiyo husika iwe na mafanikio na isitoshe pia huchukua nafasi hiyo ya kusujudu (prostrate) kuiombea baraka.nchi husika.

Papa huwa habusu (kiss) ardhi bali husujudu kufanya maombi kama jinsi Bwana Yesu alivyosujudu kwa Mungu katika maombi, matt 26:39.
 
Alikuja na ndege ya Air Tanzania marehemu Capt. Lema ndiye alirusha hii ndege. Huyu jamaa alikua na roho nzuri mno, alikua akiishi Sinza na mkewe mama wa kinyamwezi. Walishafariki wote. Walikua wana roho nzuri isiyo mfano. Umenikumbusha mbali sana.
 
Ila sio 1996 ni mwaka 1990...pia kwa kukujulisha tu alikwenda na moshi na akafanya Ibada...that was 1990 and I was there!
 
Dah! Usikute ndio walituletea yale mbegu ya ile jamii ya kibazazi! Walikagua ndege vizuri
JamiiForums1397039397.jpg
 
Tanzania ni taifa teule lakini sasa limenajisiwa
Israeli ni TAIFA TEULE.

Tanzania ni TAIFA la AGANO.

Israeli walimkataa Yesu kama Mfalme. Bt Tanzania ndilo Taifa ambalo Mungu amelichagua kama Taifa litakalobeba ufalme wa YESU duniani kama Mfalme.

Imeandikwa Yesu atatawala duniani miaka 1000, Mahali hapo patapowekwa madhabahu na KITI Cha enzi ni Tanzania.

Haimaanishi kwamba Yesu atashuka ktk mwili kutawala, No.

Yesu kutawala maana Yake, Watasimama watawala watakaosimamia Mapenzi ya Mungu duniani na SHERIA zake.

Wakati Dunia ikilazimishwa Kuhalalisha USHOGA, abortion, RUSHWA Kwa mgongo wa demoncrassie, Umaskini Kwa kukusanya Kodi kandamizi nk, TANZANIA watainuka Watawala watakaofuata HAKI ya Mungu.

Maandalizi yamekwisha Anza, unakuja mtikisiko duniani ambao utaleta taabu Dunia nzima, mtikisiko utasababisha ujio wa kiongozi huyo Kwa namna ambayo WANADAMU hawatoamini.

Tanzania imeibeba Dunia nzima katika Ulimwengu wa Roho, ukiona Kuna Nchi imepigwa Mahali jua walinzi wa kiroho Tz wamelala.

Amini usiamini wajumbe Kutoka JUU MBINGUNI wapo tayari Tanzania Kwa KAZI maalum,

Asomaye na afahamu.

Amen.
 
Wakuu.

Kuna suala linaniumiza sana Kichwa.

Mwaka 1996 Inaasemekana papa JOHN PAUL II
Alikanyaga Ardhi ya Tanzania na Kupiga MAGOTI na kuibusu?

1. Hiki kitu hakijawahi kufanya na papa yoyote JE Kuna nini Ardhi ya Tanzania?

2. Kipi kimejificha Ambacho sisi hatukijui?

3. JE Tanzania inashirikiana na VATCAN kuidhirimu CONGO?

4Nyerere Alifanya nini kwenye Ardhi ya Tanzania?

5. Upo ulikuwa msimamo wa Nyerere kuhusu dhambi na Druma zinaziendelea Congo

Hao Marais woote WANAPENDA kutawala mataifa Mengine kwanini wapite Tanzania????.

View attachment 2566674
Nme penda kiatu cha papa ( shipapi ) alikua mnyamwezi
 
Back
Top Bottom