Uyu hapa
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 394
- 476
Israeli ni TAIFA TEULE. Tanzania ni TAIFA la AGANO. Israeli walimkataa Yesu kama Mfalme. Bt Tanzania ndilo Taifa ambalo Mungu amelichagua kama Taifa litakalobeba ufalme wa YESU duniani kama Mfalme. Imeandikwa Yesu atatawala duniani miaka 1000, Mahali hapo patapowekwa madhabahu na KITI Cha enzi ni Tanzania. Haimaanishi kwamba Yesu atashuka ktk mwili kutawala, No. Yesu kutawala maana Yake, Watasimama watawala watakaosimamia Mapenzi ya Mungu duniani na SHERIA zake. Wakati Dunia ikilazimishwa Kuhalalisha USHOGA, abortion, RUSHWA Kwa mgongo wa demoncrassie, Umaskini Kwa kukusanya Kodi kandamizi nk, TANZANIA watainuka Watawala watakaofuata HAKI ya Mungu. Maandalizi yamekwisha Anza, unakuja mtikisiko duniani ambao utaleta taabu Dunia nzima, mtikisiko utasababisha ujio wa kiongozi huyo Kwa namna ambayo WANADAMU hawatoamini. Tanzania imeibeba Dunia nzima katika Ulimwengu wa Roho, ukiona Kuna Nchi imepigwa Mahali jua walinzi wa kiroho Tz wamelala. Amini usiamini wajumbe Kutoka JUU MBINGUNI wapo tayari Tanzania Kwa KAZI maalum, Asomaye na afahamu. Amen.