Je, Sokoine alikufa kwa ajali ya gari, Au aliuawa kwa kupigwa risasi 18 kifuani?

"......haya ni maneno yalitamkwa kwenye Bar moja jijini Dar es Salaam na Dr. Shaba (surgeon) daktari bingwa wa maswala ya upasuaji;"

UMEANZA VIZURI ILA HAPO TU UMEZINGUA, KUMBE MANENO YENYEWE ALIYASEMA BAR? DEFINITELY ATAKUWA ALILEWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Magufuli tena
 
Miaka 40 baadae bado ni kitendawili
 
"Dead men tells no tale"
Indeed....they go down with their stories. And even if their stories are so good and pleasing.

Na wale waliodhani haya maisha yana maana sana, wanaangalia nyuma kwa uchungu na majuto. Nguvu zao zimepungua. Na kwa mbali nao wanaona kabisa ukaribu wa kujiunga na hao deadmen.
 
Walichomfanyia Sokoine ndicho kile walichomfanyia Tundu Lissu. MaCcm ni majitu ya ovyo sana.
 
"......haya ni maneno yalitamkwa kwenye Bar moja jijini Dar es Salaam na Dr. Shaba (surgeon) daktari bingwa wa maswala ya upasuaji

Yaani kumbe maneno yenyewe ni ya kwenye Bar......??
 
No wonder Balozi Sokoine alitokwa machozi aliposoma wosia wa Baba yake inauma sana kusikia ndugu yako kauwawa hivyo vifo vya utata vinawakaa watu mioyoni daima
 
St Oribnzuri ila ya kufunga ingefaa kama ungeweka reference
 
"Ikumbukwe kwamba wakati anaondoka kwenda Dodoma Marehemu Sokoine alisema maneo ya mwisho yafuatayo:Nikimaliza kuwatumbua majipu mawaziri wangu, basi napanda juu nikamtumbue majipu Mwalimu Nyerere kwa vile anaonekana siyo msafi"
We jamaa muongo sana 😂😂
 
Hizi ni tuhuma nzito sana kuletwa hapa jukwani. Bahati mbaya ni kwamba hujaweka credible sources, locations & timestamps.
Hivi nchi hii hakuna investigative journalists?
Dhana ya kifo ni pana sana na story yoyote inaweza kukoleza maandishi.
Kama wapo waingie kazini!
Haya masuala pamoja na mengine ya utekaji, utesaji na uuaji unaoendelea nchini kwa wenye mawazo kinzani yakiachwa hivi muda mrefu yatazalisha waasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…