Je, Sokoine alikufa kwa ajali ya gari, Au aliuawa kwa kupigwa risasi 18 kifuani?

ofcoz nyerere hakuwa best prezdent ni propaganda tu
 
Kuna mchango wa david cleopa msuya pia kwenye kifo hiki,nakumbuka kusoma jarida moja la afrika kama sikosei,news africa
 
Ndo
Nyerere aliyeweza kupiga simu benki kuu na kuagiza apewe fedha anazotaka kwa sababu za "usalama wa taifa" alihitaji kuuza meli ili aibe hela za umma?

Ushawahi kufika kwa Nyerere ukaona alivyoishi?
najiuliza rais eti aibe karibu B4 za sasa halafu yeye na familia yake waishi vile.. usimuulize alishawah kufika muulize anajua familia nyerere inaishi vipi...Familia yake kuanzia watoto hadi ndugu wana maisha ya kawaida

Yaan rais aibe B4 ila watoto wake wakat huo wawe wanasoma shule za msingi kayumba na sekondari Kwanini asiwapeleke nje kusoma.
 
Unaona Samia anavyogawa ovyo milioni 700 hapa, milioni 150 pale?

Nyerere alikuwa na pesa yake mwenyewe, literally pesa ina sura yake.

Alikuwa anaweza kuamrisha ichapishwe achukue anavyotaka.

Sasa aibe meli ili iweje?

Nyerere alikuwa na uwezo wa kuchukua hela hivyo bila mtu yeyote kwenye public kujua.

Kwenye Coming To America Baba yake Lisa angesema "The Boy has got his own money".


View: https://youtu.be/dMmlyZJNEpc?si=zsVF2x6Vw61LdULE
 
Reactions: K11
Umesema kweli kipindi hicho tena zile mambo ya zidumu Fikra za mwenyekiti zimetamalak zaid ya nusu ya wa tz hawana Elimu ya kutosha hakuna teknolojia ililuwabi rais sana kuiba . Ndio
Maana wenzie kina kenyata na kina mobutu walipiga sana bila shida.. angeweza kujimilikisha sana..

Angekuwa na roho hiyo sio tu kuwa angeiba meli angeifanya Nchi kama yake akatawala hadi anakufa.

Pesa haijifichi
 
Kumuita Nyerere fisadi nakataa. Wakina Makongoro wasingeishi vile.

Pesa pembe la ng'ombe ukiwa nazo halijifichi.
 
Yaani of all the killing methods ambazo ni vigumu mtu kugundua unaona risasi 18 ndio ilikuwa njia ya kuficha zaidi ?

Ukitazama mambo kwa Logic mara nyingi hizi conspiracy utakuwa unazisikiliza kupata burudani tu na sio kupata habari...
Lisu assasnation attempt unaizungumziaje?
 
Umenifungua macho, hakika watu wema hawana maisha marefu. Binadamu na maajabu, huo utakatifu unaoandaliwa na kanisa ni wa aina gani? Wasome hii habari kwa makini. Sokoine angekuwepo mpaka leo nchi ingepaa kiuchumi na mafisadi wengi wangekunywa sumu.
 
Ukishakua sehem ya baraza la mawaziri ujue uhai wako ni halali yao!!

Hivyo tu!
 
DR Shaba hakuwahi KUWA surgeon,shaba alikuwa pathologist makini sana ambaye waingereza walimheshimu sana baada ya kubishana na pathologist wa uingereza kuhusu kinyama ambacho shaba katika uchunguzi wake alisema ni cancer mzungu alikataa,uzuri biopys huwa hazitupwi baada ya muda mgonjwa alirudi na the same complains baada ya ku review wotw wakagundua ni cancer
 
Reactions: K11
🚮
Uzi umejaa uongo mwingi mno!
Hakuna reference yoyote kuthibitisha.
Nyerere mwenyewe aliwahi kusema kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania rais akitaka anaweza kuwa mfalme, dikteta..

Ingewezekana vipi Nyerere aogope mtu aliyemteua wakati alikuwa na uwezo wa kumbadilishia wadhifa au kumfuta kazi kabisa?!

Ni mjinga tu anaweza kuamini hizi porojo za chuki
It’s impossible to believe that Prime Minister Edward Sokoine was died after his Mercedes Benz car crushed..!!! Even if the Mercedes Benz could crush with Scania lorry loaded with 40 tons still couldn’t die..!!!
Hahaha,
Hivi unaelewa maana ya lori la tani 40 vs gari ndogo "saloon" ambayo haifiki hata tani moja?!

Hata kingereza ulichoandika hapo ni cha mchongo, hakiwezi kuwa cha watu wa Daimler Benz unaosingizia kuwanukuu
 
Hatari sana, Mambo yote yaliyofichwa yatajulikana tu
 
was died! ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…