Je, Spika mstaafu Job Ndugai, ana sifa ya kugombea kuwa Rais wa Tanzania 2025?

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2008
Posts
4,635
Reaction score
2,271
Nimejaribu kufuatilia msimamo wa Job Ndugai ni kama wa JPM, ni mzalendo na hapendi Nchi kuombaomba misaada au kukopa sana kutoka nje, badala anapenda kujitegemea. Natafakari kama CCM itampitisha kugombea Urais 2025, je ana sifa ya kuwa Rais wa Tanzania?
 
Hebu mwacheni auguze kisukari chake Jamani hata hiyo 2025 kuikanyaga tu itakua Bahati!
 
Kama toba yake ilikubaliwa mbinguni ile ya ..."nimekosa mimi.Nmekosa sana.Ndiyo maana"...!Anafaa tu.Kama aliwezaweza yule yeye atakwamaje?
 
Nimejaribu kufuatilia msimamo wa Job Ndugai ni kama wa JPM, ni mzalendo na hapendi Nchi kuombaomba misaada au kukopa sana kutoka nje, badala anapenda kujitegemea. Natafakari kama CCM itampitisha kugombea Urais 2025, je ana sifa ya kuwa Rais wa Tanzania?
Duh! Ayubu huyu huyu mgogo aliyemchabanga mpinzani wake Kwa bakora?
 
Nimejaribu kufuatilia msimamo wa Job Ndugai ni kama wa JPM, ni mzalendo na hapendi Nchi kuombaomba misaada au kukopa sana kutoka nje, badala anapenda kujitegemea. Natafakari kama CCM itampitisha kugombea Urais 2025, je ana sifa ya kuwa Rais wa Tanzania?
Wazalendo wanaojiongezea marupurupu kibao na wanaojiwekea kinga za kutoshitakiwa tunao wengi sana !!
Mama mpaka 2030 hana mpinzani Chamani labda Upinzani wafanye Surprises !!
 
hana uzalendo wowote, uzalendo sio kuvaa scarf za bendera, wazalendo ni wale ambao hata kampuni za bima haziwataki, waliorindimisha mizinga kwenye nchi za maadui, wakalala nje kwenye maji. Uzalendo sio kujisema mimi mzalendo sisi ndio tunawajua wazalendo wa nchi hii. Hao wanaoenda india kwa bili fake wana uzalendo gani!

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Kweli hana mpinzani? Umejua je? Kwani Mgombea ameshachaguliwa Chamani?
 
Ni mwanachama wa CCM, umri unaokubalika, elimu inayokidhi, na zaidi ana uzoefu wa kuongoza mhimili mmojawapo wa dola (bunge).
 
Ebu kwanza taja hizo sifa za mgombea ili tunyambue nyambue..
 
hana uzalendo wowote, uzalendo sio kuvaa scarf za bendera, wazalendo ni wale ambao hata kampuni za bima haziwataki, waliorindimisha mizinga kwenye nchi za maadui, wakalala nje kwenye maji. Uzalendo sio kujisema mimi mzalendo sisi ndio tunawajua wazalendo wa nchi hii. Hao wanaoenda india kwa bili fake wana uzalendo gani!

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Lakini hakubaliani na DP World na hapendi Nchi kuombaomba misaada au kukopa sana kutoka nje.
 
Ata hengiwa kama tundu, na pm so ache tu huku hawatakiwi watu wa kweli
 
Atagombea kwa chama kipi?
Hata akipitia PPT Maendeleo lkn je, tume ile ya mfukoni mwa Samia itamuacha apate ushindi ama itatumia vinegi kupora ushindi??

Mwisho, Ndugai siyo spika mstaafu. Ni spika aliyevuliwa uspika kwa kusema "ipo siku nchi itapigwa mnada hii".
 
Back
Top Bottom