Je, Spika mstaafu Job Ndugai, ana sifa ya kugombea kuwa Rais wa Tanzania 2025?

Je, Spika mstaafu Job Ndugai, ana sifa ya kugombea kuwa Rais wa Tanzania 2025?

Kanuni na tamaduni zao zipo hivyo ! Huchapishwa fomu moja tu !!
Printer yao inachapishaga form nyingi kila baada ya miaka kumi, na moja kila baada ya miaka mitano...sasa sijajua mara ya mwisho ilichapisha ngapi?...kama ilikua moja basi next ni nyingi,na kama zilikua nyingi basi inayofuata ni moja tuu...
 
Ndugai aliisha mchapa bakora mpinzani kwa hiyo kisha poteza sifa ya kuwa rais na jemedari mkuu.
Pili ana fikra za Tanzania kuwa na rais wa maisha kama alvyosema alipikua spika
Tatu hana afya
 
Waliokuwa wanatumiwa kuiba kura wameona madhara yake baada ya uchaguzi wa 2020.
Maaskari wanafanya kazi kwa amri ili kulinda kiapo chao. Walimu ni watu wanaolialia lkn ukifika uchaguzi wanaiba kama kawaida.
 
Back
Top Bottom