Je, Spika mstaafu Job Ndugai, ana sifa ya kugombea kuwa Rais wa Tanzania 2025?

Duh! Ayubu huyu huyu mgogo aliyemchabanga mpinzani wake Kwa bakora?
Afadhali ingekuwa bakora, lile lilikuwa rungu.

Kuna watoto humu wanajilazimisha kulala kwa kuchelewa kama watu wakubwa, matokeo yake ndo haya kutuletea vitu vya ajabu ajabu kama hiki. Ndugai awe Raisi?!!!!!!!!!!!!
 
Mbinu zote za kuiba kura zitathibitiwa kwa uhakika 2025. Waliokuwa wanatumiwa kuiba kura wameona madhara yake baada ya uchaguzi wa 2020.
 
LABDA AANZISHE CHAMA CHAKE
 
Afadhali ingekuwa bakora, lile lilikuwa rungu.

Kuna watoto humu wanajilazimisha kulala kwa kuchelewa kama watu wakubwa, matokeo yake ndo haya kutuletea vitu vya ajabu ajabu kama hiki. Ndugai awe Raisi?!!!!!!!!!!!!
Hahaha 🀣
 
Ni tz tu kila mtu anajiona anafaa kuwa rais, by the way ,ccm inaenda kufutika kama uchaguzi utafanyika
 
Anayo sifa ya kugombea urais ,ila kwa maoni yangu hafai kuwa Rais ,
 
Takataka yule. Hata ubunge aliupaya kibahati tu. Na ameshasema ana file milembe
 
Hivi kuwa Karibu Mkuu wa wizara na msemaji wa Serikali cheo gani kikubwa?
 
Kuugua siyo kufa kama ilivyo kutongiza si kuoa.Anaweza kutoboa tu.Ila aache kuchapa wwnzake na fimbo hadi wanazimia.
Mtu asiyejiamini ni rahisi sana kuuza nchi akiwa Rais. Ndugai kama angekuwa anajiamini baada ya kutamka kuwa " Samia kukopa kopa sana atakuja uza nchi" alitakiwa akomae na msimamo wake na sio tena kwenda kumuangukia mama Abdul!!! Kitendo cha kwenda kuomba samahani kilimvunjia heshima mbele ya wananchi hivyo he is not electable as President!!
 
Ndugai yupo vizuri ila 2025 tunaenda na Mama
 
2025 tu ataka KATIBA mpya na Tume HURU ya UCHAGUZI,

Habari ya Nani awe Rais Si HOJA, Tunataka Rais aliye chini ya SHERIA sio juu,

Tunataka Rais ashtakiwe na akibidi afungwe akibainika ameenda kinyume na Katiba na SHERIA za Nchi.
 
Hakuna mwenye ubavu wa kumpinga Mwenyekiti wa Chama ambaye pia ndiye Amiri jeshi Mkuu πŸ˜…πŸ™ !
Uamiri Jeshi mkuu ni kwenye majeshi na wakati wa vita,

Huku kwenye siasa na uchaguzi, uamirijeshi mkuu hauhusiki.πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…